Nipo Morogoro.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina maeneo ya biashara ambayo wafanyabiashara wadogo hupanga kwa gharama ya shilingi elfu hamsini. Hata hivyo, maeneo hayo yamechukuliwa na baadhi ya wafanyakazi pamoja na watu wenye fedha, ambao huwapa vijana wapangaji kwa shilingi laki tatu.
Katika control number unaweka elfu hamsini pekee, lakini laki mbili na nusu wanachukua mkononi.
Tumechoka na hali hii. Tunapowaomba mikataba hawataki kutupatia, kwa sababu wao wenyewe ni wanufaikaji wa mfumo huo.
Pia hawataki kulipa withholding tax.
Tunaomba mtupazie sauti juu ya suala hili.