Mtoto wa Liyumba wala hausiki na Yale madawa,walitaka kumuonea tu!!Watatoka tu kama alivyotoka mtoto wa Liyumba.
Kwani ametoka lini?Mtoto wa Liyumba wala hausiki na Yale madawa,walitaka kumuonea tu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Alitoka! Sema Basha wake bado Yuko ndani!!Kwani ametoka lini?
Lini?
...Hivi wanakamatwaje ? Kama Mtu umeuficha sawasawa mzigo wako na kuchukua tahadhari Zote, unakamatwaje? Mtu anakuwa amekuchomea ? Ama Askari Wetu wamekuwa Mahodari kiasi Hicho ?Dah, nawahurumia sana
Japo wanasema ajali kazini ila vijana hii biashara ishakuwa sio hii.