Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu tendo lolote linalofanyika chini ya jua liwe la hadharani ama mafichoni huwa lazima lijulikane tu....Hivi wanakamatwaje ? Kama Mtu umeuficha sawasawa mzigo wako na kuchukua tahadhari Zote, unakamatwaje? Mtu anakuwa amekuchomea ? Ama Askari Wetu wamekuwa Mahodari kiasi Hicho ?
Kama yeye ni "tajiri la unga", basi "punda" wake akidakwa tayari ni chanzo cha yeye kadakwa.
Ikiwa yeywe ni punda, basi mteja akidakwa na yeye kanaswa!
Pia kuna mbinu za wapelelezi kujifanya wateja nk nk.