mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wengi wao washatoka mkuuNi Mimi ndy nilicomment kwamba Kiboko atatoka. Soon.
Na nikaweka na sababu kwann atatoka..
Kiboko na mkewe walikamatwa na grams 250 nyumbani kwao,
Means wakigawana huo MZIGO kila mmoja atakuwa na grams 125..ambacho ni kiasi kidogo sn cha madawa na pia kina dhamana.
Halafu unamfungulia mtu kesi ya trafficking kwa kumkuta na grams 125?.
Na umemkuta nyumbani kwake,,..
Kwann wasichomoke?
Ukikutwa nyumbani huna kesi ya trafficking..
Na kwanini wakati ule kila anayekamatwa wanakuambia amekutwa na grm 250
Ilikuwa kama inapangwa
Ova