Ulishawahii kufungwa gereza lolote?
kama hujawahi hata kufungwa gerezani na wala pia sio mwanasheria ,
basi huna unalojuwa kuhusu Sheria hizo za madawa,
Hakuna mtu ambaye anajuwa Sheria na sio mwanasheria kama mtu aliyewahi kupitia vifungo,,
wewe kumbe hata kusogelea hayo madawa ulikuwa unaogopa.
Hata gerezani hujawahi kukaa,,
Utajuwa Sheria za kukamatwa na madawa?
Na ndy maana watu wengi wakishakuwa gerezani wakikata rufaa wanashinda sababu huko watakutana na manguli wa Sheria na kuwafundisha jinsi ya kushinda kesi hata kama hana mwanasheria.,
Na hizo mambo ya kuishi nje na kusafiri tena safari chafu Sana na sio Salama.,tena za kutisha,,
Hapa kwa Mwandende ndy nyumbani kwake..
Usitake nijieleze Sana..