Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

Watu wamekamatwa salasala tegeta,,utasemaje wansafirsha madawa?

Hii inchi ngumu Sana...

Na ndy maana wanachukuwa muda mrefu kutoa hukumu.

Kuna tofauti Kati ya.

Trafficking
Dealing
Posession..
Vifungo pia si vipo tofauti kati ya hao wanoafanya trafficking, dealing na possession?? Naonaga komenti sana kuhusu hilo jambo umegusia mkuu....maybe kuna reason ipo why they do that
 
Vifungo pia si vipo tofauti kati ya hao wanoafanya trafficking, dealing na possession?? Naonaga komenti sana kuhusu hilo jambo umegusia mkuu....maybe kuna reason ipo why they do that
Dealing Ina dhamana
Possession Ina dhamana,

Trafficking haina dhamana..

Ndy maana police wanaamua kupotosha na kukuweka ndani muda mrefu,
Ikifika mahakamani kama ukipata lawyer anayejitambuwa unaachiwa..

Trafficking Ni kusafisha either airport au nje ya inchi ,
Sasa umekuta mtu nyumbani kwake unasema anasafirisha akifika mahakamani akisema mmemsingizia uongo mtasemaje?
 
Vifungo pia si vipo tofauti kati ya hao wanoafanya trafficking, dealing na possession?? Naonaga komenti sana kuhusu hilo jambo umegusia mkuu....maybe kuna reason ipo why they do that
Trafficking Ni mbaya Zaidi,,
Maana wewe ndy msambazaji/msafirishaji nje na ndani ya inchi.

Dealing Ni kujihusisha na biashara.

Posession ni umekutwa na madawa either nyumbani au mfukoni lakini umekutwa nao MZIGO lakini ndani ya inchi husika.

So police wanaweza wakakupa dealing au possession yote Ni kesi moja.

Ila trafficking Ni kuingiza madawa au kusafirisha inje au ndani ya inchi ,,
Hii ndy mbaya Sana popote duniani.
 
Ila jamani twendeni mbele nakuludi nyuma aya madude mtaani uko yamewaathiri watu wengi mno vizazi navizazi yani dah omba ili swala lisitokee kwa ndugu zako/yako
 
Tuanze kwanza huo mzigo umefikaje salasala ? Umepita Airport, Bandarin, au bandarin Chocho? Au ndio tayari kuna Viwanda Bongo??
 
Trafficking Ni mbaya Zaidi,,
Maana wewe ndy msambazaji/msafirishaji nje na ndani ya inchi.

Dealing Ni kujihusisha na biashara.

Posession ni umekutwa na madawa either nyumbani au mfukoni lakini umekutwa nao MZIGO lakini ndani ya inchi husika.

So police wanaweza wakakupa dealing au possession yote Ni kesi moja.

Ila trafficking Ni kuingiza madawa au kusafirisha inje au ndani ya inchi ,,
Hii ndy mbaya Sana popote duniani.
Bongo nyoso, kwamba mzigo niko nao geto ila ni trafficking kwa tz.....asante mkuu umenipa jambo jipya nilikua sifahamu kabisaa
 
Bongo nyoso, kwamba mzigo niko nao geto ila ni trafficking kwa tz.....asante mkuu umenipa jambo jipya nilikua sifahamu kabisaa
Ndy ipo hivyo na ndy maana wakifika . mahakamani wanachomoka ..

Wao police wanakupa trafficking ili kukukomoa usipate dhamana.
 
Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi.

Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa hilo Aprili 19, 2023 eneo la Salasala, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo walikutwa na Dawa aina ya Heroin.

Upande wa Jamhuri uliomba Mahakama kupanga tarehe nyingine kwasababu upelelezi haujakamilika. Kesi imeahirishwa hadi Juni 1, 2023 na washtakiwa wote wamerudishwa Mahabusu kwa kuwa kesi yao haina dhamana.

MWANANCHI
Hii ilendaje, au ndiyo maana TEC wanapinga sana teknolijia kuwepo bandarini? Maana hayo majina yote ni kule kule.
 
Trafficking Ni mbaya Zaidi,,
Maana wewe ndy msambazaji/msafirishaji nje na ndani ya inchi.

Dealing Ni kujihusisha na biashara.

Posession ni umekutwa na madawa either nyumbani au mfukoni lakini umekutwa nao MZIGO lakini ndani ya inchi husika.

So police wanaweza wakakupa dealing au possession yote Ni kesi moja.

Ila trafficking Ni kuingiza madawa au kusafirisha inje au ndani ya inchi ,,
Hii ndy mbaya Sana popote duniani.
Mbn shamimu na mumewe walikutwa Home na makete ya madude halafu wamefungwa maisha gerezani
 
Mbn shamimu na mumewe walikutwa Home na makete ya madude halafu wamefungwa maisha gerezani
Hayo mambo yanahitaji ujuwe Sheria..
Watu wengi wanafungwa sababu ya kutonuwa Sheria.

Ila sasa kwa taarifa yako,,hao jamaa soon utawaona uraiani,,
Wengi wanatolewa BAADA YA KUKATA RUFAA MAHAKAMA KUU.
 
Back
Top Bottom