Wafanyabiashara wagoma majiji ya Arusha na Mwanza

Wafanyabiashara wagoma majiji ya Arusha na Mwanza

Doslamari

New Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
4
Reaction score
1,499
Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili kuwabana wameamua kugoma. Mm huwa hainiigii akilini mtu kugomea shughuli zake, anamgimea nani, na je serikali ikikaa kimya atagoma mpaka lini. Je wali-organize migomo hii kwa njia gani, sk hizi TISS iko wapi mpk serikali isijue mipango hii.
Kwanini migomo inatokea wakati wa uongozi wa huyu Rais? Ni wazi kuna nguvu kubwa nyuma ya hawa watu, kuna viongozi serikalini wako nyuma yao, wako wanasiasa. Serikali huwa inaangushwa hivi hivi, wacha Samia aendelee kuwachekea na kujiita mama, sijui chura kiziwi sasa amekuwa bubu. Hizo sheria za mapato zimetungwa na bunge wakiwa na akili tumamu, sasa kigugumizi kipo wapi serikali kuwachukulia hatua kali hao wafanyabiashara kwa mujibu wa masharti ya leseni zao.
Hivi waziri mkuu yuko na Rais kwl, siyo kwamba wanamhujumu aonekane ameshindwa kuongoza?
Kwanini kila Rais akiwa muislam huwa dhaifu? Kuna nini huko kwenye misikiti yenu? Kipindi cha Nyerere, Mkapa na Magu hakuna kima angejaribu huo upumbavu. Magu angetoa kauli moja tu kwamba wasifungue tena. Tumeanza kuwa nchi ya migomo km Kenya, nchi isiyotawalika, kila mtu ni mjuaji. Rais Samia km unaona huwezi kutumia madaraka km Rais wa nchi achia ngazi, usituharibie nchi yetu kutuletea utamaduni wa ajabu. Nchi yetu ibaki kuwa imara, unawakwaza wasaidizi wako wasitekeleze majukumu yao ipasavyo. Migomo yote hiyo hakuna kiongozi mkubwa anatoa kauli. Nakosa imani na uongozi wa huyu Rais
 
Kutumia nguvu bila kutatua tatizo ni sawa na kufunika moto kwa blanket.
Kama unaweza kutumia njia za amani kitatua tatizo ni vyema zaidi.4
 
Back
Top Bottom