Wafanyabiashara wagoma majiji ya Arusha na Mwanza

Wafanyabiashara wagoma majiji ya Arusha na Mwanza

Tambua kua wananchi ndio wanatengeneza serikali, serikali haitengenezi wananchi.

Unaongea kama wewe na genge lako ndio mna hati miliki ya wafanyabiashara.

Wafanyabiashara wafunge biashara zao, na wananchi wagome kutaka bidhaa.

Uongozi utatue changamoto zilizopo kama hauwezi ukae pembeni.

Machawa Tanzania akili wanazizika wapi?
 
Mbona kama umechanganya vitu vingi vingi sana unataka wafanya biashara wanyan'ganywe leseni,Au mama atoe tamko au unampa taarifa kua huu mgomo kuna watu wanamsaliti,au dini ya Rais ndo tatizo aaagh
 
Wewe mwenyewe umegoma kujitambua sasa utasaidiwaje dada yangu
 
Back
Top Bottom