Tambua kua wananchi ndio wanatengeneza serikali, serikali haitengenezi wananchi.
Unaongea kama wewe na genge lako ndio mna hati miliki ya wafanyabiashara.
Wafanyabiashara wafunge biashara zao, na wananchi wagome kutaka bidhaa.
Uongozi utatue changamoto zilizopo kama hauwezi ukae pembeni.
Machawa Tanzania akili wanazizika wapi?