Tetesi: Wafanyabiashara/Walanguzi Kariakoo watishia kuhama CCM ikiwa Wachina hawatafukuzwa!

Tetesi: Wafanyabiashara/Walanguzi Kariakoo watishia kuhama CCM ikiwa Wachina hawatafukuzwa!

Wasio julikana ndio wameongezeka mtapelekwa kwa kila jambo mpaka idara zote zitaweka yenu.
 
Wahame, ila wajue tu hata wakipiga kura kwingine CCM ndio inaenda kuunda serikali na ikishaunda serikali wasitafute mchawi
 
Wafanyabiashara Walanguzi Kariakoo wametishia kuhama Chama ikiwa Wachina hawatolewa Kariakoo

Wachina watakuwa ubungo na wao wakitaka mzigo watafata ubungo


Wao waendelee na kariakoo yao
 

Attachments

  • IMG-20250516-WA0004.jpg
    IMG-20250516-WA0004.jpg
    105 KB · Views: 26
Wafanyabiashara Walanguzi Kariakoo wametishia kuhama Chama ikiwa Wachina hawatolewa Kariakoo
Waondoke tu LAKINI wachina hawaondolewi. Hawa wachina wametupunguzia gharama za maisha, maana walanguzi walikuwa wanatuumiza sana.
 
Back
Top Bottom