Sasa unawaondoa Wachina ili ujinga urudi pale pale au maana wafanyabiashara wetu ni wapuuzi na hawajuwi ethics za biashara. Wahame tu CCM kwani Chauma si bado kinapokea wababaishaji?Wafanyabiashara Walanguzi Kariakoo wametishia kuhama Chama ikiwa Wachina hawatolewa Kariakoo