Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi.

Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia wamesema kiwango cha faini kinachotozwa kwa wageni wanaofanya biashara hizo ni 'kidogo'.

Taarifa ifuatayo kwenye video hii hapa chini ina maelezo zaidi.

View: https://www.facebook.com/share/v/1KLzpw1XaW/
 
Bongo tumezoea kulialia, badala ya kupambana. Kila raia hapa duniani ana haki ya kwenda nchi yoyote na kufanya biashara kwa vigezo na masharti ya mgeni katika nchi husika.

Awa wanao lalamika ingekua vizuri kama wange incite vifungu vya sheria kuhusu wageni kutokufanya biashara nchini.
 
Nafikiri wanacholalamika jamaa hapo ni kwamba hawa wachina wengi wapo nchini kinyume cha sheria, kwa sababu kisheria nchi yetu hairuhusu mgeni aje nchini kufanya biashara ya kuuza kwenye duka la fremu. Hawa wengi wapo kimagumashi.
 
Ilaa kuna watu wengine akili zenu mnazijua wenyewe.. njoo kwenye cosmetics halafu angalia mnaijeria anachokifanya..

Wao wanaishi kwa money laundry and they have nothing to loose😥🙌
 
Ivyo ndivyo sheria inasema au unavyodhani sheria inasema. Kama ndivyo inasema weka quote hapa
 
Yani mtu hana clue ila lazima ajibu
 
Back
Top Bottom