TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Mchina aliyekutwa na bilioni yupo mtaani sembuse hizo karanga CCM 🚮
Yule jamaa kaachiwa kumbe?Mchina aliyekutwa na bilioni yupo mtaani sembuse hizo karanga CCM 🚮
Unamkamata sponsor unataka ufe njaa?Yule jamaa kaachiwa kumbe?
Duuuhhh!! Nchi imeoza hii aiseeUnamkamata sponsor unataka ufe njaa?
Nafikiri wanacholalamika jamaa hapo ni kwamba hawa wachina wengi wapo nchini kinyume cha sheria, kwa sababu kisheria nchi yetu hairuhusu mgeni aje nchini kufanya biashara ya kuuza kwenye duka la fremu. Hawa wengi wapo kimagumashi.Bongo tumezoea kulialia, badala ya kupambana. Kila raia hapa duniani ana haki ya kwenda nchi yoyote na kufanya biashara kwa vigezo na masharti ya mgeni katika nchi husika.
Awa wanao lalamika ingekua vizuri kama wange incite vifungu vya sheria kuhusu wageni kutokufanya biashara nchini.
Wapi huko, China?Mbona nyie huko makwao mnafanya kazi za Wazawa?
Jamaa wapo kimagumashi. Wanafanya biashara za kichuuzi ambazo wageni hawaruhusiwi kuzifanya kisheria.Kwani ninyi mmezuiwa kwenda kufanya biashara kwao!?, kwanza waendelee kuja tu tununue vitu kwa bei kitonga, tatizo la wabongo upigaji mwingi wanataka wauze kitu kidogo wapate faida mlima!.
wacha wafanye tu wawachalenge kidogo hawa wakwetu maana wamejisahau sana, kikubwa hawajaiba cha mtu na wanalipa kodi, mbona wapo wabongo wengi tu kwao wanafanya kazi za kichuuzi.Jamaa wapo kimagumashi. Wanafanya biashara za kichuuzi ambazo wageni hawaruhusiwi kuzifanya kisheria.
Mbongo anaweza kwenda kufanya biashara ya kuchuuza vitu dukani China?wacha wafanye tu wawachalenge kidogo hawa wakwetu maana wamejisahau sana, kikubwa hawajaiba cha mtu na wanalipa kodi, mbona wapo wabongo wengi tu kwao wanafanya kazi za kichuuzi.
Ilaa kuna watu wengine akili zenu mnazijua wenyewe.. njoo kwenye cosmetics halafu angalia mnaijeria anachokifanya..Bongo tumezoea kulialia, badala ya kupambana. Kila raia hapa duniani ana haki ya kwenda nchi yoyote na kufanya biashara kwa vigezo na masharti ya mgeni katika nchi husika.
Awa wanao lalamika ingekua vizuri kama wange incite vifungu vya sheria kuhusu wageni kutokufanya biashara nchini.
Ivyo ndivyo sheria inasema au unavyodhani sheria inasema. Kama ndivyo inasema weka quote hapaNafikiri wanacholalamika jamaa hapo ni kwamba hawa wachina wengi wapo nchini kinyume cha sheria, kwa sababu kisheria nchi yetu hairuhusu mgeni aje nchini kufanya biashara ya kuuza kwenye duka la fremu. Hawa wengi wapo kimagumashi.
Ilaa kuna watu wengine akili zenu mnazijua wenyewe.. njoo kwenye cosmetics halafu angalia mnaijeria anachokifanya..
Wao wanaishi kwa money laundry and they have nothing to loose😥🙌
Yani mtu hana clue ila lazima ajibuIlaa kuna watu wengine akili zenu mnazijua wenyewe.. njoo kwenye cosmetics halafu angalia mnaijeria anachokifanya..
Wao wanaishi kwa money laundry and they have nothing to loose😥🙌
Soma hii hapa mkuu, sheria iko wazi: WeiterleitungshinweisIvyo ndivyo sheria inasema au unavyodhani sheria inasema. Kama ndivyo inasema weka quote hapa