kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Mambo yakinyooka pia utuletee mrejeshoHabari za muda huu,
Wafanyabishara wenzangu.
Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.
Kwa upande wangu naona Mambo yamekua magumu, Mzunguko Umepungua, Wateja wanasa hawana hela. Kifupu Biashara imepoa.
Vipi kwa upande wako huko mambo yakoje.
Unafanya biashara gani?Habari za muda huu,
Wafanyabishara wenzangu.
Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.
Kwa upande wangu naona Mambo yamekua magumu, Mzunguko Umepungua, Wateja wanasa hawana hela. Kifupu Biashara imepoa.
Vipi kwa upande wako huko mambo yakoje.
Sijataka kujua haya, Nimetaka kujua Mzunguko huko kwa wengine UkojeUnafanya biashara ya aina gani? Unaifanyia sehemu gani,mtaji wako ni kiasi gani?
Mzunguko wa biashara unategemea na kiasi cha mtaji pamoja na eneo unalifanyia hiyo biashara. Mauzo ya biashara ya mtaji wa M100 hayawezi kuwa sawa na biashara ya mtaji wa M10.Sijataka kujua haya, Nimetaka kujua Mzunguko huko kwa wengine Ukoje
UNAJIBU AMBAYO HUJAULIZWA MZEE MAMBO MENGI SANA YANI MPAKA UNABOAMzunguko wa biashara unategemea na kiasi cha mtaji pamoja na eneo unalifanyia hiyo biashara. Mauzo ya biashara ya mtaji wa M100 hayawezi kuwa sawa na biashara ya mtaji wa M10.
Sasa mkuu utalinganisha mzunguko wa kimara na wa shume?UNAJIBU AMBAYO HUJAULIZWA MZEE MAMBO MENGI SANA YANI MPAKA UNABOA
Mpumbavu kweli wewe unashupaza shingo,,,, ! Huyo mdau yupo sahihi kuuliza hayo maswali ili apate cha kukushauri ! Biashara inategemea na bidhaa unayouza, eneo na kiasi cha mtaji ! Pambana na hali yako kama unashindwa kujibu hoja za msingi ili ushauriwe, kwa akili hizi inawezekana hata mchawi wa Biashara ni wewe mwenyewe, communication na wateja Zero kabisa, watakukimbia mpaka maji uite mmaUNAJIBU AMBAYO HUJAULIZWA MZEE MAMBO MENGI SANA YANI MPAKA UNABOA
MPUMBAVU MAMA AKOMpumbavu kweli wewe unashupaza shingo,,,, ! Huyo mdau yupo sahihi kuuliza hayo maswali ili apate cha kukushauri ! Biashara inategemea na bidhaa unayouza, eneo na kiasi cha mtaji ! Pambana na hali yako kama unashindwa kujibu hoja za msingi ili ushauriwe, kwa akili hizi inawezekana hata mchawi wa Biashara ni wewe mwenyewe, communication na wateja Zero kabisa, watakukimbia mpaka maji uite mma
Huyu Kimara ni chadema, ana mtaji wa 50,000 anataka aingize 100,000 kwa siku, usikute hapo hajafanya ubunifu wowte kama vile matangazo, upangaji vizuri wa bidhaa zivutie, kuongea vizuri na wateja. etc. anatafuta njia kuja ilaumu CCM.UNAJIBU AMBAYO HUJAULIZWA MZEE MAMBO MENGI SANA YANI MPAKA UNABOA
kichwani umejaa kinyesi ndo maana vitu vidogo vinakushinda unakuja kulia hapa ,,,, Hakuna hurumaMPUMBAVU MAMA AKO
Alitegemea tuanze mtukana Mama kwamba ameharibu uchumi, hakutaka ushauri ila alitaka support za kampeniMpumbavu kweli wewe unashupaza shingo,,,, ! Huyo mdau yupo sahihi kuuliza hayo maswali ili apate cha kukushauri ! Biashara inategemea na bidhaa unayouza, eneo na kiasi cha mtaji ! Pambana na hali yako kama unashindwa kujibu hoja za msingi ili ushauriwe, kwa akili hizi inawezekana hata mchawi wa Biashara ni wewe mwenyewe, communication na wateja Zero kabisa, watakukimbia mpaka maji uite mma
Ndio mujue jinsi CCM wanavyopata tabu kubishana na Chad*. Hiki chama cha Chad** wamejawa matusi, wao na wafuasi wao, hakuna anayeweza toa hoja ya msingi asiweke matusikichwani umejaa kinyesi ndo maana vitu vidogo vinakushinda unakuja kulia hapa ,,,, Hakuna huruma
Inatwgemea na aina yabiashara mimi nauza mbolea nikisema nitaambiwa nawaringishiaHabari za muda huu,
Wafanyabishara wenzangu.
Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.
Kwa upande wangu naona Mambo yamekua magumu, Mzunguko Umepungua, Wateja wanasa hawana hela. Kifupu Biashara imepoa.
Vipi kwa upande wako huko mambo yakoje.
Wewe TAJIRI unafanya biashara gani, UNAMTAJI WA SHINGAP na unaingiza shingap. Tuanzie HapoHuyu Kimara ni chadema, ana mtaji wa 50,000 anataka aingize 100,000 kwa siku, usikute hapo hajafanya ubunifu wowte kama vile matangazo, upangaji vizuri wa bidhaa zivutie, kuongea vizuri na wateja. etc. anatafuta njia kuja ilaumu CCM.
just joking guys