kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Habari za muda huu,
Wafanyabishara wenzangu.
Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.
Kwa upande wangu naona Mambo yamekua magumu, Mzunguko Umepungua, Wateja wanasa hawana hela. Kifupu Biashara imepoa.
Vipi kwa upande wako huko mambo yakoje.