Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwa hii lugha lazma mambo yawe magumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChKwa hii lugha lazma mambo yawe magumu.
Hakika!Kwa hii lugha lazma mambo yawe magumu.
Nitakupigiaaaa bro napika makande hapa si unajua jmosi tena 😃Hakika!
B.T.W uko wapi broh?
Sijaona kosa lao....Wachangiaji nao wamezidi wamemkalia kooni Sana
Wana complicate tu mambo ....yeye alitaka tu maoni hali ya kibiashara Ikoje in general , ila watu wanajikuta much know
Mtu anatakiwa ajibu Mimi nafanya Biashara flani hali ya kibiashara iko moja mbili tatu ..Sasa wenzangu na Mimi kucomplicate mambo tu maelezo kibao nje ya walichoulizwa
Ch
😆😆😆😆😆🤝🤝Nitakupigiaaaa bro napika makande hapa si unajua jmosi tena 😃
Huwezi kupata jibu kwa njia hii mkuu, biashara zote Tz haziwezi kua ngumu kwa wakati mmoja. Mf aliyepata dili la kuuza Yale majeneza ya kuhifadhia ndugu zetu wa k/koo ukimuuliza vp biashara unaionaje obvious atakuambia ipo poa.Hamjamuelewa mtoa mada yeye hajataka ushauri yeye kataka kujua in general view biashara kwa ujumla zinaendaje hata kama unauzia bunju au kkoo au unauza chupi au simu...uwe na mtaji mkubwa au mdogo vipi kwa upande wako biashara ipoje full stop.
Braza Simu saivi kkoo naona zinatoka wiki mbili izi sio mbaya sana.
Hamjamuelewa mtoa mada yeye hajataka ushauri yeye kataka kujua in general view biashara kwa ujumla zinaendaje hata kama unauzia bunju au kkoo au unauza chupi au simu...uwe na mtaji mkubwa au mdogo vipi kwa upande wako biashara ipoje full stop.
Braza Simu saivi kkoo naona zinatoka wiki mbili izi sio mbaya sana.
Jongea maeneo ya Bar..guest houses..na sehemu za ngonongono....Habari za muda huu,
Wafanyabishara wenzangu.
Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.
Kwa upande wangu naona Mambo yamekua magumu, Mzunguko Umepungua, Wateja wanasa hawana hela. Kifupu Biashara imepoa.
Vipi kwa upande wako huko mambo yakoje.
I get a new older duhHauwezi kutoa jibu la jumla
Anabidi kutaja location
Aina ya Biashara
Capital yake
Ili tujue cha kuchangia
Mfano I'm running logistic business na huu msimu ndo biashara imekubali everyday I get new older and I earn alot of money
Means nipo katika high season
So this guy ni mjinga kuuliza swali Kama ambalo halijitoshelezi
Mtoa uzi hajaomba ushauriMpumbavu kweli wewe unashupaza shingo,,,, ! Huyo mdau yupo sahihi kuuliza hayo maswali ili apate cha kukushauri ! Biashara inategemea na bidhaa unayouza, eneo na kiasi cha mtaji ! Pambana na hali yako kama unashindwa kujibu hoja za msingi ili ushauriwe, kwa akili hizi inawezekana hata mchawi wa Biashara ni wewe mwenyewe, communication na wateja Zero kabisa, watakukimbia mpaka maji uite mma
Kumbe wewe ni mpumbavuUNAJIBU AMBAYO HUJAULIZWA MZEE MAMBO MENGI SANA YANI MPAKA UNABOA