Wafanyabiashara wenzangu, hali ya kibiashara ipoje huko kwenu?

Wafanyabiashara wenzangu, hali ya kibiashara ipoje huko kwenu?

Wachangiaji nao wamezidi wamemkalia kooni Sana
Wana complicate tu mambo ....yeye alitaka tu maoni hali ya kibiashara Ikoje in general , ila watu wanajikuta much know

Mtu anatakiwa ajibu Mimi nafanya Biashara flani hali ya kibiashara iko moja mbili tatu ..Sasa wenzangu na Mimi kucomplicate mambo tu maelezo kibao nje ya walichoulizwa
Kwa hii lugha lazma mambo yawe magumu.
Ch
 
Biashara IPO vizuri mzunguko ni mkubwa Sana .

Kuhusu mtoa mada ni MTU mjinga arrogance ,dumber and primitive

Ili ujibiwe swali lako unabidi kutoa maelezo mazuri

Sio unatukana watu n.k

Wewe itakuwa ni wale wafanya Biashara waliovamia Biashara baada ya kukosa Ajira uchawala za ualimu na upolisi.
 
Hapo mleta mada ungesema wewe unadeal na nini? kisha ungealika wenzio , wangekupa code,kwamba miezi hii ni season ya boom au recesion. Pia wangeshauri kama ni recesion nini hatua za kuchukua kulinda mtaji. Je uongeze biashara ya pembeni au utoe mtaji wote ikibidi uhamishie kwa kibubu kwa muda? n.k
 
Wachangiaji nao wamezidi wamemkalia kooni Sana
Wana complicate tu mambo ....yeye alitaka tu maoni hali ya kibiashara Ikoje in general , ila watu wanajikuta much know

Mtu anatakiwa ajibu Mimi nafanya Biashara flani hali ya kibiashara iko moja mbili tatu ..Sasa wenzangu na Mimi kucomplicate mambo tu maelezo kibao nje ya walichoulizwa

Ch
Sijaona kosa lao....

Aina ya biashara na location vinachangia huo ugumu na wepesi.
Biashara ngumu huko kwenu vipi hii ni too general

Ilitakiwa "nna bucha la samaki nipo Arusha hapa biashara ngumu vipi huko kwenu" wauza samaki wenzie wampe yaliyomo....

Na btw lugha inachangia sana kuwaweka wateja, nimemkumbusha.
 
Hamjamuelewa mtoa mada yeye hajataka ushauri yeye kataka kujua in general view biashara kwa ujumla zinaendaje hata kama unauzia bunju au kkoo au unauza chupi au simu...uwe na mtaji mkubwa au mdogo vipi kwa upande wako biashara ipoje full stop.

Braza Simu saivi kkoo naona zinatoka wiki mbili izi sio mbaya sana.
 
Huwezi kupata jibu kwa njia hii mkuu, biashara zote Tz haziwezi kua ngumu kwa wakati mmoja. Mf aliyepata dili la kuuza Yale majeneza ya kuhifadhia ndugu zetu wa k/koo ukimuuliza vp biashara unaionaje obvious atakuambia ipo poa.
 
Hamjamuelewa mtoa mada yeye hajataka ushauri yeye kataka kujua in general view biashara kwa ujumla zinaendaje hata kama unauzia bunju au kkoo au unauza chupi au simu...uwe na mtaji mkubwa au mdogo vipi kwa upande wako biashara ipoje full stop.

Braza Simu saivi kkoo naona zinatoka wiki mbili izi sio mbaya sana.

Unajibiwa swali Kutokana na namna ambavyo umeamua kuuliza .

Anawezekana akawa sahihi Ila Kwa watu wengi hatopata jibu .

Ukisema Biashara you need to highlight what kind of business

Ni ngumu
 
Hivi nge unawezaje kumtoa sumu yake maana sio kwa bei hizi
Yaani ghali kuliko madini
Lita moja ni $10.3m
Mbia yupo?
 
Habari za muda huu,

Wafanyabishara wenzangu.

Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.

Kwa upande wangu naona Mambo yamekua magumu, Mzunguko Umepungua, Wateja wanasa hawana hela. Kifupu Biashara imepoa.

Vipi kwa upande wako huko mambo yakoje.
Jongea maeneo ya Bar..guest houses..na sehemu za ngonongono....

Mambo niii🔥🔥🔥
 
Hauwezi kutoa jibu la jumla

Anabidi kutaja location
Aina ya Biashara
Capital yake

Ili tujue cha kuchangia

Mfano I'm running logistic business na huu msimu ndo biashara imekubali everyday I get new older and I earn alot of money

Means nipo katika high season

So this guy ni mjinga kuuliza swali Kama ambalo halijitoshelezi
I get a new older duh
 
Mpumbavu kweli wewe unashupaza shingo,,,, ! Huyo mdau yupo sahihi kuuliza hayo maswali ili apate cha kukushauri ! Biashara inategemea na bidhaa unayouza, eneo na kiasi cha mtaji ! Pambana na hali yako kama unashindwa kujibu hoja za msingi ili ushauriwe, kwa akili hizi inawezekana hata mchawi wa Biashara ni wewe mwenyewe, communication na wateja Zero kabisa, watakukimbia mpaka maji uite mma
Mtoa uzi hajaomba ushauri

Mbona ghafla mnajifanya wataalamu wa biashara kutoa shauri mbalimbali wakati hajaomba?

Yeye kauliza vipi wafanyabiashara wengine hali zenu zipoje maana yeye kwake pagumu,anataka kujua generally na nyie mna feel vipi?

Hajaomba ushauri wa lolote

Na pia level za mitaji hazina uhusiano wowote na ugumu wa biashara....kila mtu anafanya kwa level yake

Tukichukua eti level za mitaji ndio kigezo basi ni useless maana namba hazina limit,wewe unaejidai na 100mil kuna mwenye 1Bil,na wa 1BIl kuna mwenye 10Bil,etc na zote hizi hua zinakufa tu kama zingine zilizo ndogo regardless...ishu hapa ni mzugunguko wa biashara yako kutokana na level ya mtaji uliopo hali yake ikoje?ndio anachoouliza

Mbwembwe zingine keep them for yourself
 
Kwenye biashara zenu tumieni program ya SmartBusiness ili iwasadie kusimamia taarifa za biashara, itakusaidia kufahamu performance/afya ya biashara yako na hivyo kufanya maamuzi mazuri ya namna ya kuboresha biashara yako.
 
Back
Top Bottom