Wabongo ni wagumu kujieleza Sana. Yaani Jamaa Anampa msomaji kazi kubwa Sana kutafakari alitaka kusema nini... Nimesoma mara mbili mbili na mimi sijaelewa kama inauzwa au au Kuna mtu anaitaji sample hizo za machine
Yap ndioKama hizi ndugu auView attachment 1133189View attachment 1133191
Mkuu na wewe ndo umevuruga kabisa sijakuelewa
Ngoja niende
Mpka lini
Ndugu mbona mzaha mwingiMWANZA MWANZA:Bidhaa ya asili
Grab your facial kit now, helps with:
1. Acne
2. Dark spots and blemishes
3. Hyperpigmentation due to chemical creams
4. Skin tags
5. Wrinkles
Jipatie facial kit yako sasa, inasaidia na:
1. Chunusi
2. Makovu
3. Alama za kuungua na mafuta makali au jua.
4. Visunzua
5. Makunyanzi
Wasiliana na Mimi Instagram @online_naturalcosmetics kujipatia yako sasa kwa shilingi 35000, hutojutia mafuta ni mazuri sana [emoji5]
Haya nikusaidie hyo machine nenda Instagram page @jh_business utaipata asantehNdugu mbona mzaha mwingi
Mkuu na wewe ndo umevuruga kabisa sijakuelewa
Ukiwasiliana nae kwa vile anauza machine za kazi hyo ni rahisi kukuelekeza namna ya kuipata
Yaani ni shida halaf unakuta mtu Kama huyo ni mtu mzima na ana watoto wanaenda shule je ataweza kuwarekebisha watoto wake wanapopata mabuyu shuleni?