Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We chawa wa WCB ushajipata kwamba unafaham hizo sehemuUkipata pesa automatically utazijua tu.
Tafuta kwanza pesa.
Mbagala hapo ile nafika tu nikakuta mchuzi kwenye kibakuli unarudishwa kwenye sufuria afu yale mabaki ya ugali yakawekwa kwenye doo la takaKuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu.
Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie anarudisha mchuzi uliobakishwa na mteja kwenye sufuria ya mboga nikakumbuka visa vyangu, silagi Kwa mama ntilie ila chips haziepukiki.
Pia soma: Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?
Eneo la kwanza ni Mikocheni karibu na hospital kubwa sana, wakati nakula chips mayai kufungua katikati nakuta nzi wamenasa ilibidi njikaze tu kuwaondoa nsije tupa chakula na nna njaa.
Eneo la pili Ubungo mitaa ya hosteli ndanindani kwenye hotel kama nyota tatu, nikiwa na rafiki ikaagizwa chips mayai na nyama, wakati nakula katikati nakuta mifupa midogomidogo ya kuku ilikwishaliwa liwa imenasia, na pieces za kabichi, means mteja akibakisha wao wanatoa kile kilichobaki wanarudisha kwenye kisafi wanachanganya.
Juzijuzi Tena Niko Magomeni, kwenye chips tu pembeni ya main Rosa, chips mayai nakula katikati nashangaa naona ugumu kufosi naibuka na toothpick kama tatu zimelala katikati ya mayai. nkitafuta nakuata vipande vya nyama.
Sijawahi kutana na haya mambo mtaani kwetu ila maeneo yenye biashara ndo nakutana nayo.
Mbona mnatufanyia hivi, imagine mtu unahangaika tangu asubuhi hata kunywa maji hukumbuki, unaamua kupoza tumbo unaletewa vyakula vilivyorudishiwa mabaki?
What if huyo aliekula hapo akabakisha ana maradhi yanayoambukizwa Kwa mate kama hepatitis?
What if akiwa anakula kapiga chafya vikarukia humo?
What if wamewekeana sumu au madawa?
Mteja anatoa pesa kamili Kwa kile anachostahili hata mkimwaga hayo mabaki shida yenu Iko wapi, si unauza kama ulivyoplan? Kwanini mnarisk Maisha ya wengine kutafuta extra profit toka kwenye kilekile mlichozalisha. Mnapata hasara mkimwaga ilhali kishalipiwa?
Mnaua biashara za wengine pia.
Badilikeni!!
Umenikumbusha kuna siku nilienda dukani kununua Skonzi, nimefika muuza duka katoka kupimia watu maziwa, alichofanya akapaka vidole mate ili afungue mfuko baada ya hapo akachukua mfuko wa Skonzi akatoa na mikono yake hiyohiyo yenye mate na maziwa.
Nilichukia sana, ila nikaamua kuondoka tu. Zile Skonzi zikaishia kwenye takataka na ndiyo ukawa mwanzo wa kununua Skonzi mfuko mzima ili kuepukana na hii adha maana kuna watu usafi ni 0.
Bila kusahau wengi wa wauza samaki wa kukaanga wa mtaani
Picha linaanaanza wengi hawakaangi hao samaki mazingira safi
Ukinunua anashika samaki kwa mikono yake ndiyo anakuwekea kwenye kifungashio
Mikonono hiyo hiyo anajikuna, anashika hela na mikono hiyo hiyo anaitumia chooni
Yani ganzi sana aisee
Laifu gumuWao hawaoni kinyaa lakini?
Anatoka pale kukuhudumia.wala hanawi anazoa hivohivo na mkono anakuwekeaBila kusahau wengi wa wauza samaki wa kukaanga wa mtaani
Picha linaanaanza wengi hawakaangi hao samaki mazingira safi
Ukinunua anashika samaki kwa mikono yake ndiyo anakuwekea kwenye kifungashio
Mikonono hiyo hiyo anajikuna, anashika hela na mikono hiyo hiyo anaitumia chooni
Yani ganzi sana aisee
Hata kama ..ndo Ule na kijiko hikohiko alichobakisha mwingineLaifu gumu
Mpe vituPole sana kwa madhira. Ukiwa nje ya nyumbani kwako jitahidi ule nyama choma, kuku choma ng'ombe choma au nguruwe aka kiti moto michuzi machipsi achana nayo
Walevi wengi wa Jiji Huwa wanaenda restaurant flan hivi zisizo na watu wachache na wanapenda kitu ya kuchoma,ukiwa mjanja maeneo hayo yapo kidongo chekundu nyuma.ya jengo zamani la ushirika,jitahidi kula vitu live,ukiwa morogoro tafuta kwa kimario nyuma.ya Msamvu,,ukiwa Arusha wajanja wanaenda kwa Mlomboo,cheza na mziki wa wanywaji wanajua Siri nyingi,kitu cha uchumi wa kati itakusaidia hakuna shortcut kwa life,Tena jifunze unoko wa kusimama hata pembeni wakati kitu kinaandaliwa,usiwaamini hao watu wa chips simama acha mapozi na kujiona.Life is short.Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu.
Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie anarudisha mchuzi uliobakishwa na mteja kwenye sufuria ya mboga nikakumbuka visa vyangu, silagi Kwa mama ntilie ila chips haziepukiki.
Pia soma: Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?
Eneo la kwanza ni Mikocheni karibu na hospital kubwa sana, wakati nakula chips mayai kufungua katikati nakuta nzi wamenasa ilibidi njikaze tu kuwaondoa nsije tupa chakula na nna njaa.
Eneo la pili Ubungo mitaa ya hosteli ndanindani kwenye hotel kama nyota tatu, nikiwa na rafiki ikaagizwa chips mayai na nyama, wakati nakula katikati nakuta mifupa midogomidogo ya kuku ilikwishaliwa liwa imenasia, na pieces za kabichi, means mteja akibakisha wao wanatoa kile kilichobaki wanarudisha kwenye kisafi wanachanganya.
Juzijuzi Tena Niko Magomeni, kwenye chips tu pembeni ya main Rosa, chips mayai nakula katikati nashangaa naona ugumu kufosi naibuka na toothpick kama tatu zimelala katikati ya mayai. nkitafuta nakuata vipande vya nyama.
Sijawahi kutana na haya mambo mtaani kwetu ila maeneo yenye biashara ndo nakutana nayo.
Mbona mnatufanyia hivi, imagine mtu unahangaika tangu asubuhi hata kunywa maji hukumbuki, unaamua kupoza tumbo unaletewa vyakula vilivyorudishiwa mabaki?
What if huyo aliekula hapo akabakisha ana maradhi yanayoambukizwa Kwa mate kama hepatitis?
What if akiwa anakula kapiga chafya vikarukia humo?
What if wamewekeana sumu au madawa?
Mteja anatoa pesa kamili Kwa kile anachostahili hata mkimwaga hayo mabaki shida yenu Iko wapi, si unauza kama ulivyoplan? Kwanini mnarisk Maisha ya wengine kutafuta extra profit toka kwenye kilekile mlichozalisha. Mnapata hasara mkimwaga ilhali kishalipiwa?
Mnaua biashara za wengine pia.
Badilikeni!!
Hapo kweli mtihani .elimu inatakiwa wapewe maaana haujui mteja ana magonjwa ganiHata kama ..ndo Ule na kijiko hikohiko alichobakisha mwingine
😂😂😂Kuna wauza chips zaidi ya mmoja nimewashuhudia wakiulizwa chips ni za moto basi wao wanazipima joto kwa mkono nyuma ya kiganja ...tatizo wengi ya wauza chips ni watu washamba wa vijijini wana tabia za uchafu wa asili wanashindwa kujua jema na baya.
Watu wanalishwa uchafu mno. Hata wauza matunda yaliyokatwa kama matikiti aise mtu anashika tikiti analikata vipande akimaliza anashika hela na watu hawashtuki kabisa. Ni uchafu sana.Yes wauza samaki wa mitaani dagaa mchele ni noma wanashika na mikono michafu na kukufungia ,aiseee ni hatari ,wafanyabiashara wa vyakula wengi 99% hawazingatii usafi.