KERO Wafanyabiashara ya chakula acheni kurudisha mabaki

KERO Wafanyabiashara ya chakula acheni kurudisha mabaki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ukinunua ndizi mbivu tano na parachichi la moja ukashushia na maji unashiba kabisa. Vyakula vinavyopikwa kibiashara si vya kuaminika kwenye usafi.
 
Ajali kazini,,,vichafu twavila vingi either kwa kujua or kwa kutojua.Ukijua Epuka kama umejaliwaa Moyo na Roho safi kama yako,,Waepushe na wengineo,,,Hujabahatika kujua kanyaga twende ila kwa tahadhari kubwa mnoo###KiwiliwiliHakinaSpea###
 
Utashangaa kwenye thread hii kuna mdau analalamika eti chakula tunachokula migahawani huwa hali kwa sababu ya uchafu cha kuchangaza huyohuyo analamba papuchi.
Sijui anakwepa kitu gani
 
Kwa upande wa chips...chips nyingi za mtaan zinaandaliwa kwenye eneo waz; jiko linakua open kiasi unaweza kuwitness kila hatua ya uandaaji..binafsi hua nasimama hapo anaandaa nikimuangalia..wengi wao wana mazoea ya hovyo unakuta anashikashika chips na mikono michafu bila hata sababu ya msingi wakati huo chombo cha kuchotea kipo hapo pemben...wasimamie kama eneo linaruhusu hilo. Kama ni jiko la ndani kweny restaurants kubwa hapo huna ujanja.
Hela yako halafu ikutese? ni utumwa huo
 
Eneo la kwanza ni Mikocheni karibu na hospital kubwa sana, wakati nakula chips mayai kufungua katikati nakuta nzi wamenasa ilibidi njikaze tu kuwaondoa nsije tupa chakula na nna njaa.

Eneo la pili Ubungo mitaa ya hosteli ndanindani kwenye hotel kama nyota tatu, nikiwa na rafiki ikaagizwa chips mayai na nyama, wakati nakula katikati nakuta mifupa midogomidogo ya kuku ilikwishaliwa liwa imenasia, na pieces za kabichi, means mteja akibakisha wao wanatoa kile kilichobaki wanarudisha kwenye kisafi wanachanganya.
Wewe Dada una macho ya Rohoni, usiniulize nimejuaje Ila hapo hakuna inzi wa kawaida wala Mifupa ya kawaida biashara Ina mambo mengi meusi meusi
 
Ndio sehemu ambayo nikitaka kupata minyoo ninatenga wiki Moja ya kula mtaani au vile vigondi(vikikuu vinavyochomwa na kuuzwa vipande vipande)
Minyoo faster
 
Back
Top Bottom