Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Ukinunua ndizi mbivu tano na parachichi la moja ukashushia na maji unashiba kabisa. Vyakula vinavyopikwa kibiashara si vya kuaminika kwenye usafi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata pesa automatically utazijua tu.Mkuu sehemu za kueleweka ni wapi
Salaam zimefika ma mkwe, nae anasema kakumisi zaidi.Mi nipo.nisalimie mume nimemmiss
Afrika hususani Tanzania ni kama kuna utaahira wa kudumu wa ufanyaji mambo.Upo?
Hela yako halafu ikutese? ni utumwa huoKwa upande wa chips...chips nyingi za mtaan zinaandaliwa kwenye eneo waz; jiko linakua open kiasi unaweza kuwitness kila hatua ya uandaaji..binafsi hua nasimama hapo anaandaa nikimuangalia..wengi wao wana mazoea ya hovyo unakuta anashikashika chips na mikono michafu bila hata sababu ya msingi wakati huo chombo cha kuchotea kipo hapo pemben...wasimamie kama eneo linaruhusu hilo. Kama ni jiko la ndani kweny restaurants kubwa hapo huna ujanja.
Wanakera sana.Bado hujasema wale wauza nyama choma yaani wanashika nyama kw amkono wanakata kwa mkono wanaweka kwenye sahani ya mteja kwa mkono😤 ni huzuni.
Nisipoteseka foodborne infections can result..Hela yako halafu ikutese? ni utumwa huo
Lakini aliyeleta taarifa ndiyo wa kuoa. Yeye anakula kwa mama ntilie ila atakupikia nyumbani?Get married msio na wake,
Mtapata taabu sana.
Wewe Dada una macho ya Rohoni, usiniulize nimejuaje Ila hapo hakuna inzi wa kawaida wala Mifupa ya kawaida biashara Ina mambo mengi meusi meusiEneo la kwanza ni Mikocheni karibu na hospital kubwa sana, wakati nakula chips mayai kufungua katikati nakuta nzi wamenasa ilibidi njikaze tu kuwaondoa nsije tupa chakula na nna njaa.
Eneo la pili Ubungo mitaa ya hosteli ndanindani kwenye hotel kama nyota tatu, nikiwa na rafiki ikaagizwa chips mayai na nyama, wakati nakula katikati nakuta mifupa midogomidogo ya kuku ilikwishaliwa liwa imenasia, na pieces za kabichi, means mteja akibakisha wao wanatoa kile kilichobaki wanarudisha kwenye kisafi wanachanganya.
TOA visa vyako vilivyokukuta walikuwekea Misumali?njoo kariakoo ndio kuna balaaa
Migahawa ni kwa ajili ya mabachela tu??Get married msio na wake,
Mtapata taabu sana.
Unakulaje huko vichochoroni.
Katika tabia nisiyopenda ni kutokula hovy
Unakulaje huko vichochoroni.
Katika tabia nisiyopenda ni kutok
Katika tabia usiyoipenda ni kutokula ovyo.Maana yake katika tabia unayoipenda ni kula ovyo.Kwanini unapenfa kula ovyo?Unakulaje huko vichochoroni.
Katika tabia nisiyopenda ni kutokula hovyo
AiseeNimewahi kuona muuza juice anachokonoa sikio halafu akaenda kukata matunda ya kuweka kwenye blender kutengeneza juice bila hata kunawa mikono.
Wingi?Mama ntilie ni wachafu Sana niliwahi kuona wingi kwenye mboga ya dagaa asee nilichafukwa siku nzima.