Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Ndio ukishapigwa unaambiwa wewe ni mvuta bangiOut of topic vipi Bado ukila barabarani mchana huu apo Zanzibar wanakudaka?
Ni bakora kwenda mbele mpaka Ramadhani iisheOut of topic vipi Bado ukila barabarani mchana huu apo Zanzibar wanakudaka?
Viboko Harafu wanakuwekea kete ya bange mfukoni ๐Ni bakora kwenda mbele mpaka Ramadhani iishe
waunga mkono michezo au mpira wa miguuImetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar.
Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo.
Huu ni upendo mkubwa na kudumisha muungano wetu.
Hundi hiyo inakabdhiwa TFF.
Bora wangeendelea kukaa kimya tu kuliko yale maelezo๐๐๐Viboko Harafu wanakuwekea kete ya bange mfukoni ๐
Out of topic vipi Bado ukila barabarani mchana huu apo Zanzibar wanakudaka?