Tetesi: Wafanyabishara wawili wakubwa na matajiri Tanzania waingia katika bifu kali na la chinichini

ila broo unajuaga kukunja habari sasa hapa nipo kwe kitendawili cha almasi..sijui ni eneo ukumbi au biashara ila no p nmeipata conclusion mwambie mzee wa lambalamba mo level nyengine..mtoto akili nyingi kama shihole trump ah ah
 
Mkuu pumguza kidogo codes! Unachapa sana Java mkuu! Mi niliishia C++ na hata sikuimaliza! Almasi DDC Kariakoo!

Hapa ni mwendo wa ' Codes ' tu Mkuu. Yaani Mkuu hujui kwamba hatua chache tu kutoka hapa ulipo huo Ukumbi wa DDC Kariakoo kunapatikana hiyo ' Almasi ' ambayo wiki iliyopita iliiogelea yenyewe kutoka Bwawani Zanzibar hadi Feri Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipia Ushuru wa Kodi za nchini Uganda?
 
ila broo unajuaga kukunja habari sasa hapa nipo kwe kitendawili cha almasi..sijui ni eneo ukumbi au biashara ila no p nmeipata conclusion mwambie mzee wa lambalamba mo level nyengine..mtoto akili nyingi kama shihole trump ah ah

Sasa mbona mwanzo wa maelezo yako umesema hujaelewa kitu lakini mwishoni kabisa katika maelezo yako umeonyesha umeshaelewa Somo la Tajiri wa Mbagala na Tajiri wa Kariakoo?
 
Ndo maana Juzi nimekunywa MORE MALT... Nikajiuliza imekuwaje?..
Ila bado ladha yake sio nzuri kama ukinywa KWA ZAMU MALT...
Mwandishi Utakuwa umenielewa...
 
Daaah, walau hapa sasa nimekusoma! Shukrani kwa kutuhabarisha!
 
Sasa huyo tajiri wa mbagala mbona ana tamaa hivyo yote kukosa tenda ya almasi ya kkoo
 
Hap
Mtoa mada alikuwa bingwa wa literature...hongera kwa fasihi yako sisi wenye ufahamu tumeshakupata
Hapana ameleta tu mipasho. Uchumi wa Nchi hauwezi kuelezewa kimipasho mipasho, namna hii. By the way, "Almasi ya Kariakoo?" What the Hell is This?
 
Almas
ila broo unajuaga kukunja habari sasa hapa nipo kwe kitendawili cha almasi..sijui ni eneo ukumbi au biashara ila no p nmeipata conclusion mwambie mzee wa lambalamba mo level nyengine..mtoto akili nyingi kama shihole trump ah ah
Almasi=simba
 
Mkuu nimekuelewa
Huyo wa Mbagala hope ni Mtoto sio msure
Mtoto kawekeza sana Pale kwenye PAKA MKUBWA wa porini
KUliko huyo taikuni wa Finyanga
Ila naona Mtoto wa taikuni wa Mbagala hana Mbwembwe
Sema Taikuni wa Finyanga anawapambe wengi sana
 
Khaaa hizi code hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…