Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Haha!noma kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa Hivi haujaelewa bado ??ila broo unajuaga kukunja habari sasa hapa nipo kwe kitendawili cha almasi..sijui ni eneo ukumbi au biashara ila no p nmeipata conclusion mwambie mzee wa lambalamba mo level nyengine..mtoto akili nyingi kama shihole trump ah ah
Sinia memba wa shilawadu.[emoji122] [emoji122]Baada ya kuzidiwa na mwenzake katika Ugombeaji wa ' almasi ' kubwa ya Mtaa wa Kariakoo sasa Tajiri wa Mbagala inasemekana ameingia katika ' bifu ' kali na zito la Kibiashara na Tajiri mwenzake huyo wa Kariakoo kiasi cha kupelekea kushawishi ' Mamlaka ' fulani kuzuia uzalishaji wa Vinywaji baridi vya Tajiri huyo wa Kariakoo.
Japo Tajiri huyu wa Mbagala anajifanya kuegemea katika kuzidiwa ' Kete ' na Tajiri wa Kariakoo hasa baada ya kushinda ' Tenda ' ya umiliki wa hiyo ' almasi ' iliyopo Kariakoo ila taarifa za ndani zaidi zinadai kwamba Tajiri wa Mbagala alinza kumchukia mwenzake wa ' Almasi ' ya Kariakoo hasa baada ya Yeye nae kuanza kutengeneza Vinywaji baridi vyenye ladha kama ya Kiwanda cha Tajiri wa Mbagala na kuziuza kwa ama bei ile ile na mwenzake ila ujazo ukiwa ni mkubwa au kuziuza kwa bei ya chini hali ambayo imempunguzia mwenzake Wateja na mapato.
Hivi ninavyo tiririka na kuserereka na huu uzi nimepata taarifa na mmoja wa Chanzo changu kilichopo katika Kampuni ya Tajiri wa Kariakoo kikisema kwamba sasa inaenda wiki ya pili kama siyo ya tatu Kiwanda cha Tajiri huyo wa ' Almasi ' iliyopo Kariakoo kimezuiwa kuzalisha Vinywaji na sababu walizopewa hazina miguu wala kichwa ila ni ' shinikizo ' kutoka kwa Tajiri wa Mbagala kama sehemu ya kummaliza na kumkomoa mwenzake huku akisahau kwamba Tajiri huyo wa ' Almasi ' ya Kariakoo kila siku anazidi tu kuwa Tajiri na hata hivi juzi kati amesikika akitajwa tena na bado akiwa ni Kijana tu.
Inasemekana kwamba endapo hili ' bifu ' zito na la chinichini la Wafanyabiashara Matajiri na maarufu Tanzania halitaingiliwa kati na Waziri Mwijage kuna hatari ya kuja kuathiri Sekta nzima ya Biashara nchini Tanzania hasa ukizingatia kwamba Wawili hao wana ' ushawishi ' mkubwa mno Kijamii japo mmoja wapo Wikiendi iliyopita alikuwa ni mwenye furaha akitokea Zanzibar na mwenzake Yeye wiki iliyoisha tu alinuna na kupelekea hadi Kuogelea kutoka Zanzibar hadi Dar es Salaam ukiachana na Yule Tajiri mwenzao mwingine ambayo hapa katikati ' alihenyeshwa ' na sasa hataki kusikia tena habari za mambo ya Biashara na ametulia zake tu sasa Kimya huku Marafiki zake wakiwa wanahangaika tu kila uchao Kuchota maji yanayojaa na kupambana na Vyura ambao wameweka Kambi ya kudumu katika eneo lao linalopakana na mkondo bahari.
Sijui kwanini Wafanyabiashara wakubwa huwa hawapendani lakini Sisi masikini tunapendana kweli.
Nawasilisha.
Wa matopeni Katika ubora wako.Badala ya kujadili ya watu wenu Bakhresa na Dewji unamuingiza Manji ili iweje? Hiyo unayodai ni Almas ya Kariakoo mbona ni sawa na Kambi ya vibaka? Umesahau walivyotapakaa ka panyaroad pale bandarini wakitoka Zanzibar baada ya kunyoroshwa kama Man city juzi pale Anfield?Baada ya kuzidiwa na mwenzake katika Ugombeaji wa ' almasi ' kubwa ya Mtaa wa Kariakoo sasa Tajiri wa Mbagala inasemekana ameingia katika ' bifu ' kali na zito la Kibiashara na Tajiri mwenzake huyo wa Kariakoo kiasi cha kupelekea kushawishi ' Mamlaka ' fulani kuzuia uzalishaji wa Vinywaji baridi vya Tajiri huyo wa Kariakoo.
Japo Tajiri huyu wa Mbagala anajifanya kuegemea katika kuzidiwa ' Kete ' na Tajiri wa Kariakoo hasa baada ya kushinda ' Tenda ' ya umiliki wa hiyo ' almasi ' iliyopo Kariakoo ila taarifa za ndani zaidi zinadai kwamba Tajiri wa Mbagala alinza kumchukia mwenzake wa ' Almasi ' ya Kariakoo hasa baada ya Yeye nae kuanza kutengeneza Vinywaji baridi vyenye ladha kama ya Kiwanda cha Tajiri wa Mbagala na kuziuza kwa ama bei ile ile na mwenzake ila ujazo ukiwa ni mkubwa au kuziuza kwa bei ya chini hali ambayo imempunguzia mwenzake Wateja na mapato.
Hivi ninavyo tiririka na kuserereka na huu uzi nimepata taarifa na mmoja wa Chanzo changu kilichopo katika Kampuni ya Tajiri wa Kariakoo kikisema kwamba sasa inaenda wiki ya pili kama siyo ya tatu Kiwanda cha Tajiri huyo wa ' Almasi ' iliyopo Kariakoo kimezuiwa kuzalisha Vinywaji na sababu walizopewa hazina miguu wala kichwa ila ni ' shinikizo ' kutoka kwa Tajiri wa Mbagala kama sehemu ya kummaliza na kumkomoa mwenzake huku akisahau kwamba Tajiri huyo wa ' Almasi ' ya Kariakoo kila siku anazidi tu kuwa Tajiri na hata hivi juzi kati amesikika akitajwa tena na bado akiwa ni Kijana tu.
Inasemekana kwamba endapo hili ' bifu ' zito na la chinichini la Wafanyabiashara Matajiri na maarufu Tanzania halitaingiliwa kati na Waziri Mwijage kuna hatari ya kuja kuathiri Sekta nzima ya Biashara nchini Tanzania hasa ukizingatia kwamba Wawili hao wana ' ushawishi ' mkubwa mno Kijamii japo mmoja wapo Wikiendi iliyopita alikuwa ni mwenye furaha akitokea Zanzibar na mwenzake Yeye wiki iliyoisha tu alinuna na kupelekea hadi Kuogelea kutoka Zanzibar hadi Dar es Salaam ukiachana na Yule Tajiri mwenzao mwingine ambayo hapa katikati ' alihenyeshwa ' na sasa hataki kusikia tena habari za mambo ya Biashara na ametulia zake tu sasa Kimya huku Marafiki zake wakiwa wanahangaika tu kila uchao Kuchota maji yanayojaa na kupambana na Vyura ambao wameweka Kambi ya kudumu katika eneo lao linalopakana na mkondo bahari.
Sijui kwanini Wafanyabiashara wakubwa huwa hawapendani lakini Sisi masikini tunapendana kweli.
Nawasilisha.
Toka lini matope yakawa Almas?Yeye aliweka 40 Billion mwenzake kaweka tu 20 Billion na kashinda Yeye ' Tenda ' huku mwenye 40 Billion akiambiwa kuwa japo ana ' mzigo ' wa Kutosha ila hakuwa kuwa na msaada na ' Almasi ' ya Kariakoo kama ambavyo mwenzake wa 20 Billion alivyokuwa akijitolea kwa hali na mali na ni jana tu ameiletea zawadi kubwa ' Almasi ' yake hiyo kutoka nchini Ufaransa japo kwa sasa ' Almasi ' yenyewe ipo Mkoani Morogoro na itaingia Dar es Salaam Jumatano mchana kwa jukumu lake zito la siku ya Alhamisi maeneo ya Temeke.
Acheni kufananisha Almas na city vya hovyohovyo vya mbumbumbu fcHapa ni mwendo wa ' Codes ' tu Mkuu. Yaani Mkuu hujui kwamba hatua chache tu kutoka hapa ulipo huo Ukumbi wa DDC Kariakoo kunapatikana hiyo ' Almasi ' ambayo wiki iliyopita iliiogelea yenyewe kutoka Bwawani Zanzibar hadi Feri Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipia Ushuru wa Kodi za nchini Uganda?