Tetesi: Wafanyabishara wawili wakubwa na matajiri Tanzania waingia katika bifu kali na la chinichini

Wakigombana matajiri Maskini ndiyo wanapata shida.Watafokewa na makazi kibao yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Bila kupitia comment za watu ulovyofichaficha habari yaan huwez kuelewa mpk mtu awe na muhtasar wa tatizo nn baina ya hawa watu wawili
 
ila broo unajuaga kukunja habari sasa hapa nipo kwe kitendawili cha almasi..sijui ni eneo ukumbi au biashara ila no p nmeipata conclusion mwambie mzee wa lambalamba mo level nyengine..mtoto akili nyingi kama shihole trump ah ah
hahahaa Hivi haujaelewa bado ??
Almasi ni simba sports club..natajiri wa mbagala ni bakhresaa..nahuyo tajiri mtoto wa k.koo ni mo
 
Sinia memba wa shilawadu.[emoji122] [emoji122]
 
Wa matopeni Katika ubora wako.Badala ya kujadili ya watu wenu Bakhresa na Dewji unamuingiza Manji ili iweje? Hiyo unayodai ni Almas ya Kariakoo mbona ni sawa na Kambi ya vibaka? Umesahau walivyotapakaa ka panyaroad pale bandarini wakitoka Zanzibar baada ya kunyoroshwa kama Man city juzi pale Anfield?
 
Toka lini matope yakawa Almas?
 
Acheni kufananisha Almas na city vya hovyohovyo vya mbumbumbu fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…