Wafanyabishara wenzangu, hali ipoje huko mlipo? Mzunguko upoje?

Wafanyabishara wenzangu, hali ipoje huko mlipo? Mzunguko upoje?

Shomary47

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2021
Posts
233
Reaction score
359
Habarini Jamani,

Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko.

1721201036877.jpg
 
Ni kweli mkuu nachoona inasababishwa na hazina kutokufungulia pesa katika mataasisi thus matumizi yamepungua ila next week ya september nadhani mfumo utafunguka wakandarasi na wazabuni watalipwa so hata mitaani itaingia
 
Habarini Jamani, Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko !
Kote hali mbaya sana hakuna biashara zinazoendelea.mitaji imeanguka bidhaa tunazo lkn hakuna wanunuzi hata bidhaa za vyakula haziendi.
 
Habarini Jamani, Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko !
Dah mwez nao kama imekaza maden kbao kiukwl napitia njia ya wana Israel kutembea kwa miguu miaka 47 kufka nch ya kusadkka ya maziwa na asali
 
Mi nilianza kuona mzunguko mgumu kwanzaia mwezi wa sita nikajipa moyo labda wazazi wanalipa karo so tuvumilie ila ad saiv mwez wa nane biashara ni ngumu na mzunguko ni mdogo mno

Ila kito nilichohisi sku izi watanzania hawana pesa so wanangoja mwaka wa fedha uanze serikal itoe pesa ziingie kwenye miradi my be inaweza saidia maana skuizi pesa nying tunapata kutoka kwenye miradi ya serikal ila wananch hali ngumu
 
Tukiwaambia mbet mnasema ooh sijui hivi sijui vile haya Sasa wenzenu hatuwazi kulipia fremu maana fremu ni simu zetu tu MTAJI stake kazi imeishatunabaki kuwachota mkiangaika na chuma ulete mtaani
 
Back
Top Bottom