KERO Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habar wakuu,

Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa mshahara kuanzia tarehe 5-8 mwa mwezi unaofuata.

Mfano mshahara wa mwezi wa tatu unalipwa mwezi wa nne tarehe 8 ,je ni mamlaka gani inayohusika na kufatilia stahiki za wafanyakazi na je ni mfumo upi unao mlazimu muajili kulipa stahiki na mishahara ndani ya mwezi husika ,kwann kama ni tarehe za mishahara ya serikali kati ya tarehe 23-26 wanakua wamelipwa ,kwann huo huo mfumo usifanyike kwenye taasisi biafsi.

Hii ni tabia ya kampuni ya HALEM CONSTRUCTION COMPANY LIMITED.

Haiwezi kulipa wafanyakazi wake ndani ya muda; badala yake, mshahara unaingia kuanzia tarehe 5–8 au pengine hata 15.

Naomba uchunguzi na mamlaka husika ichukue hatua.
 
Mshahara unakuja katika njia 2
1. Easy way: pale ambapo manager anakupa mshara tarehe 3 ya mwez mwjngine huku anakusimanga, kama una sehem nyingine ya kwemda nenda

2. Hard way : Masimamgo yako palepale na mshahara unapata tarehe 15 y mwez mpya
 
Habar wakuu,

Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa mshahara kuanzia tarehe 5-8 mwa mwezi unaofuata.

Mfano mshahara wa mwezi wa tatu unalipwa mwezi wa nne tarehe 8 ,je ni mamlaka gani inayohusika na kufatilia stahiki za wafanyakazi na je ni mfumo upi unao mlazimu muajili kulipa stahiki na mishahara ndani ya mwezi husika ,kwann kama ni tarehe za mishahara ya serikali kati ya tarehe 23-26 wanakua wamelipwa ,kwann huo huo mfumo usifanyike kwenye taasisi biafsi.

Hii ni tabia ya kampuni ya HALEM CONSTRUCTION COMPANY LIMITED.

Haiwezi kulipa wafanyakazi wake ndani ya muda; badala yake, mshahara unaingia kuanzia tarehe 5–8 au pengine hata 15.

Naomba uchunguzi na mamlaka husika ichukue hatua.
Pole hiyo kampuni siyo ya kukaa mda wowote mtaambiwa nyumbani mtaji umekata. Tafuta chaka jingine
 
Back
Top Bottom