A
Pole hiyo kampuni siyo ya kukaa mda wowote mtaambiwa nyumbani mtaji umekata. Tafuta chaka jingineHabar wakuu,
Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa mshahara kuanzia tarehe 5-8 mwa mwezi unaofuata.
Mfano mshahara wa mwezi wa tatu unalipwa mwezi wa nne tarehe 8 ,je ni mamlaka gani inayohusika na kufatilia stahiki za wafanyakazi na je ni mfumo upi unao mlazimu muajili kulipa stahiki na mishahara ndani ya mwezi husika ,kwann kama ni tarehe za mishahara ya serikali kati ya tarehe 23-26 wanakua wamelipwa ,kwann huo huo mfumo usifanyike kwenye taasisi biafsi.
Hii ni tabia ya kampuni ya HALEM CONSTRUCTION COMPANY LIMITED.
Haiwezi kulipa wafanyakazi wake ndani ya muda; badala yake, mshahara unaingia kuanzia tarehe 5β8 au pengine hata 15.
Naomba uchunguzi na mamlaka husika ichukue hatua.
Na wa tandika na mbagala πΉπΉKutafuta chakq dar mchezo? Huyo Lamomy tu na ujanja wake wote na kaishia kuuza vijora kariakoo muda mwingine anakopesha wamachinga wa mwenge
Hati mpaka nirudi bongo, kutoka seycheles next two yearsNa wa tandika na mbagala πΉπΉ
Wee mzee hati unanikabidhi lini?
Mbona unapenda kuchelewesha mambo lakini? ππΉ