Sema Chilo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 324
- 25
Muda ukifika watatoa tu vuta subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
Mwalimu kwani lazima kila mwezi ulipwe? Jitoleeni mjenge taifa lenu.
f***************ck! ungekuwa jirani yangu hapa nikuditopile. Usicheze na hisia za watu wanapojadili mambo muhimu yanayohusu maisha yao.
mwalimu tangu lini
mumeanza kupata mishahara sema posho ya kujikimu kwa robo
mwezi,mishahara ipo afya,kilimo nk,
kwa dharau hizi wasigome tu!
Mimi sio mchumi, labda unanifanisha na mtu. Mimi ni nuclear scientist, nina utaalamu pia wa WMD kutoka Marekani.
July nikawaida mishahara kuchelewa kwaajili ya marekebisho na nyongeza za mishahara.Kazi hii inafanywa kwa umakini ili mtua aongezewe stahili yake bila kuchanganywa na yamtu mwingine aidha kwa kupunjwa au kuongezwa asivyostahili. Ni kazi inayohitaji umakini.