Wafanyakazi, mishahara ya July vipi?

Wafanyakazi, mishahara ya July vipi?

Kwani hujui taratibu za mwezi July. Maranyingi MISHAHARA huchelewa, kwani ni mwanzo wa mwaka mpya wa fedha na huwa kunakuwa na nyongeza ya mshahara. So lazima ichelewe.
 
mwl nyinyi mna mishahara au posio ya kujikimu kwa robo mwezi,kaangalie nyaraka za mishahara uone
 
Serikali ndio imeshafilisika inakusanya huku na kule ili kulipa mishahara. Ndio mwezi wa kwanza wa bajeti mpya ya 2012/2013 sasa ikifika December 2012 sijui hali itakuwaje.

mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
 
Walimu mnakaribishwa baypot kupata mkopo nafuu kama mshahara umecherewa
 
mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?

Mwalimu wenzako wanawaza kugoma wewe unafikiria posho(wages) na wala si mshahara(salary). Hivi kwa hali hii utagoma kweli ww?
 
kwani jamani hamjui mwez july unatarehe hadi 38 na 39?
 
Mwalimu kwani lazima kila mwezi ulipwe? Jitoleeni mjenge taifa lenu.

f***************ck! ungekuwa jirani yangu hapa nikuditopile. Usicheze na hisia za watu wanapojadili mambo muhimu yanayohusu maisha yao.
 
f***************ck! ungekuwa jirani yangu hapa nikuditopile. Usicheze na hisia za watu wanapojadili mambo muhimu yanayohusu maisha yao.

Hizo hasira zako ungeziamishia kwenye kuinua kipato chako, ni aibu kwa mwanaume kutegemea mshara. Wajukuu zako watarithi nini PPF?
 
mwalimu tangu lini mumeanza kupata mishahara sema posho ya kujikimu kwa robo mwezi,mishahara ipo afya,kilimo nk,
 
Mimi sio mchumi, labda unanifanisha na mtu. Mimi ni nuclear scientist, nina utaalamu pia wa WMD kutoka Marekani.

Kama Bilali we noma,ninyi doo mtasaidie kutengeneza japo vimilipuko vidogo,kwa maandaliz ya 2015.
 
July nikawaida mishahara kuchelewa kwaajili ya marekebisho na nyongeza za mishahara.Kazi hii inafanywa kwa umakini ili mtua aongezewe stahili yake bila kuchanganywa na yamtu mwingine aidha kwa kupunjwa au kuongezwa asivyostahili. Ni kazi inayohitaji umakini.

Ni kweli mkuu ni kazi inayohitaji umakini lakini i hope ingekuwa bora kila wizara ikipitishiwa bajeti yake mchakato uanze mara moja la sivyo itakuwa ngumu kuupata mshahara wa mwezi julai kwa wakati kwani kuna baadhi ya wizara bajeti zao zaanza somwa agosti. Mi nadhani hii yote ni kasumba ya utendaji wa mazoea
 
Walevi ndo tunanasubiri mshahara kwa hamu. Heshima itashuka baa.
 
Back
Top Bottom