Wafanyakazi ni daraja la mafanikio ya wafanyabiasha

Wafanyakazi ni daraja la mafanikio ya wafanyabiasha

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Je, unaweza kutoa ufafanuzi wa msemo huu?
"WAFANYAKAZI (WAAJIRIWA) NI DARAJA LA MAFANIKIO YA WAFANYABIASHARA"
 
Ndio juzi uliona chama chetu kimenunuliwa au kuwekezwa na wafanyabiashara ,ROSTAM,BAHRESSA,GSM KIKWETE
 
If you can't make money while you are sleeping, then stop what you are doing brother...🤣
Nilimsikia mzungu flani anamwambia kijana wake
 
If you can't make money while you are sleeping, then stop what you are doing brother...🤣
Nilimsikia mzungu flani anamwambia kijana wake
Sasa
Assume wote tuna sleep
What will happen brother 🤣🤣
 
Je, unaweza kutoa ufafanuzi wa msemo huu?
"WAFANYAKAZI (WAAJIRIWA) NI DARAJA LA MAFANIKIO YA WAFANYABIASHARA"
Na wafanyabiashara ni daraja la mafanikio la wafanyakazi mfano TIHARAHEI.
 
Sasa
Assume wote tuna sleep
What will happen brother 🤣🤣
Haiwezekani wote tukawa wafanya biashara mkuu....
Humu Jf skuizi vijana wamepungukiwa uwezo wa kufikiri.
Kuna siku nilikua namwambia kijana wangu kwamba, kama binadam angefunuliwa kuijua keaho yake basi dunia isingekua salama.
Baada ya pale akaniuliza kwanini baba unasema hivyo? Nikamjibu nenda ukatafute jibu then utakuja kuniambia
 
Back
Top Bottom