Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
Wanavaa vizuri ili kulinda kibarua 😅
Maana bila hivyo kifuatacho atalimwa warning letter.
 
Kwani wasabato tunavaaje lakini arrrrgh
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kuvaa vizuri ni tabia ya mtu. Kuna watu nawajua wana hela nzuri tu lakini uvaaji wa hovyo kabisa.

Ila watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuvaa hovyo.
Uvaaji ni skill kama skills zingine.
Kupangilia mavazi is an art, si kila mtu anaweza.
Si mnaona supika la matangazo katika bunge huwa linavaaje?
 
Kuvaa vizuri ni tabia ya mtu. Kuna watu nawajua wana hela nzuri tu lakini uvaaji wa hovyo kabisa.

Ila watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuvaa hovyo.
kila mtu ameruhusiwa kuvaa anavyopenda mwenyewe alimradi avae kiheshima
 
Kati ya watu waliochoka na wanastress nyingi ni wafanyakazi wa serekali, so hata usishangae
 
Back
Top Bottom