Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

Wanavaa vizuri ili kulinda kibarua 😅
Maana bila hivyo kifuatacho atalimwa warning letter.
 
Kwani wasabato tunavaaje lakini arrrrgh
 
Kuvaa vizuri ni tabia ya mtu. Kuna watu nawajua wana hela nzuri tu lakini uvaaji wa hovyo kabisa.

Ila watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuvaa hovyo.
Uvaaji ni skill kama skills zingine.
Kupangilia mavazi is an art, si kila mtu anaweza.
Si mnaona supika la matangazo katika bunge huwa linavaaje?
 
Kuvaa vizuri ni tabia ya mtu. Kuna watu nawajua wana hela nzuri tu lakini uvaaji wa hovyo kabisa.

Ila watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuvaa hovyo.
kila mtu ameruhusiwa kuvaa anavyopenda mwenyewe alimradi avae kiheshima
 
Kati ya watu waliochoka na wanastress nyingi ni wafanyakazi wa serekali, so hata usishangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…