Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

TUSI 🐐🐐🐐
 
Kwahiyo kukosekan autulivu kwenye kituo cha mtihani kutokana na sababu za kibinaadamu zilizosababishwa na mwenye shule huoni kuna athari kwa wanafunzi wanaoendelea na mitihani katika maandalizi yao? au akili yako box imewaza kwamba wafanyakazi wataingia kwenye chumba cha mitihani na kupoka makaratasi au kuwazuia wanafunzi kufanya miyihani au kupiga makekelele hovyo? think big utulivu wa nafsi ni muhimu kuliko physical restless. punguza uvivu wa kufikiri.
 
Tusiime mwanzoni ilikuwa inafanya vizuri sana ila baadae sijui nini kilitokea hadi wakaamua kuachana na ishu za kitaaluma na kuamua kuangalia maokoto tu... inasikitisha sana.
 
Kama ni hiyo kweli nilifanya chaguo sahihi kuhamisha vijana wangu..

Kuna mhasibu anaitwa Vincent Katagira ni mtu poa sana, kuliko yule wa wa kati kati.

Ila pale wahaya tupu, kweli wanaweza kumuhujumu mwenzao?
 
Kama ni hiyo kweli nilifanya chaguo sahihi kuhamisha vijana wangu..

Kuna mhasibu anaitwa Vincent Katagira ni mtu poa sana, kuliko yule wa wa kati kati.

Ila pale wahaya tupu, kweli wanaweza kumuhujumu mwenzao?
Kuna bonge mmoja surname yake ni Katagira bado yupo?
 
Kayumba hakunaga cha mambo sijui ya walimu wamegoma. Ualimu ni wito.Elimu haipaswi kuwa biashara
Walimu wa Kayumba hawana time ya kugoma Kwa kuwa hao watoto waelewe wasielewe watajua wenyewe...Sasa hapo unagoma Nini?
 
Hakuna la kuhatarisha mitihani ya Taifa usijidanganye, mkionekan a wasumbufu watawatimua nyote kuanzia mfagiaji Hadi mwenye Shule Hadi mtihani uishe alafu muendelee na mgomo wenu wakisha maliza mitihani yoa. NECTA walau ndilo baraza linaonesha umakini katika KAZI zake. Natamani TANESCO ingekuwa kama NECTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…