Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Oct 23, 2024 #21 Watanzania tunawezana na wachina tu...Mshahara laki mbili ila anajua utamwibia...na hizo loss wanazi write off kwenye operation cost...hutasikia mchina kapanda mahakamani..
Watanzania tunawezana na wachina tu...Mshahara laki mbili ila anajua utamwibia...na hizo loss wanazi write off kwenye operation cost...hutasikia mchina kapanda mahakamani..