Wafanyakazi wa European Commission watakiwa kuondoa TikTok kwenye simu zao

Wafanyakazi wa European Commission watakiwa kuondoa TikTok kwenye simu zao

Marekani wana haki ya kutetea maslahi ya wananchi wao sisi ngoja tu tukimbize mwenge maanake ndipo akili zetu zilipofikia.
Hata RUSSIA wanahaki yakutetea maslahi ya wananchi wao nayamajirani zao pia

Nyie endeleeni kuipinga SMO
 
Serikali yoyote makini LAZIMA iyalinde maslahi ya nchi yake kwa gharama yoyote na ndivyo inavyofanya Marekani.
Sio Marekani tu, kila mtu binasfi anasukumwa na kulinda maslahi yake, inakuja familia, ukoo hadi taifa...Ndio maana kuna magomvi ya mipaka ya viwanja mtu na jirani yake...nchi na nchi nyingine..huo ndio utaratibu wa maisha
 
Mkuu umeielezea vizuri sana hii dhana.
 
Back
Top Bottom