Wafanyakazi wa Hoteli ya Lukuvi (GerWill) Waangua Vilio Vya Majonzi

Wafanyakazi wa Hoteli ya Lukuvi (GerWill) Waangua Vilio Vya Majonzi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu yangu Mtanzania,

Habari Ni kama inavyosomeka
===========
Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Inaelezwa kuwa jina la hoteli hiyo ya kifahari, Gerwill, limetokana na mchanganyiko wa majina ya marehemu William Lukuvi na mkewe Germina Lukuvi, akieleza heshima na kumbukumbu ya familia.



View: https://www.instagram.com/reel/DWWs3y-DVrI/

Hoteli yenyewe:

IMG_3210.jpeg
IMG_3209.jpeg
IMG_3208.jpeg
IMG_3207.jpeg


IMG_3211.jpeg


IMG_3212.jpeg


IMG_3213.jpeg
 
Lukuvi alipata Wapi hela ya kujenga hotel Ambayo Nyerere hakuwahi kujenga?
Endelea kubweteka na kuendeleza Umbeya ,Majungu ,unoko ,upashikuna ,kimdomo wakati wenzako wanatafuta pesa na kupiga hatua za kimaendeleo. Utakufa unashangaa tu maendeleo ya watu . Wewe endelea na uzuzu wako.
 
Ndugu yangu Mtanzania,

Habari Ni kama inavyosomeka
===========
Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Inaelezwa kuwa jina la hoteli hiyo ya kifahari, Gerwill, limetokana na mchanganyiko wa majina ya marehemu William Lukuvi na mkewe Germina Lukuvi, akieleza heshima na kumbukumbu ya familia.



View: https://www.instagram.com/reel/DWWs3y-DVrI/

Hoteli yenyewe:

View attachment 3563133View attachment 3563154View attachment 3563155View attachment 3563156View attachment 3563157

View attachment 3563158

View attachment 3563159

View attachment 3563160



Madisadi watupu
 
Na wewe uko wapi kati ya hao wanaoliwa bwana lucas
 
Back
Top Bottom