Wafanyakazi wa Hoteli ya Lukuvi (GerWill) Waangua Vilio Vya Majonzi

Duh! Maisha haya! Hata uwe na nini utakufa na kuzikwa chini kwenye kashimo kadogo.
 
Ndugu yangu Mtanzania,

Habari Ni kama inavyosomeka
===========
Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Inaelezwa kuwa jina la hoteli hiyo ya kifahari, Gerwill, limetokana na mchanganyiko wa majina ya marehemu William Lukuvi na mkewe Germina Lukuvi, akieleza heshima na kumbukumbu ya familia.

View: https://www.instagram.com/reel/DWWs3y-DVrI/

Hoteli yenyewe:

View attachment 3563133View attachment 3563154View attachment 3563155View attachment 3563156View attachment 3563157

View attachment 3563158

View attachment 3563159

View attachment 3563160

Wale ni wafanyakazi au ni watu wa kukodisha?? Soma nyakati mzee
 
Wasiishie kulia tu maana haitosaidia kitu
Waangalie namna ya kuiendeleza hiyo hoteli

Ova
 
Back
Top Bottom