Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mabasi ya akina Meku ni shida manka 😀Hii kampuni isipoangalia inaweza kufilisika, tajiri ajipange
Hakuna shida yoyote mkurugenzi wa kampuni asimame kwenye mstari kama amejikwaa mambo yaende, kampuni huwa zinaanza kufilisika hivi hivi.Mabasi ya akina Meku ni shida manka 😀
Kama Air MsaeHakuna shida yoyote mkurungezi wa kampuni asimame kwenye mstari kama amejikwaa mambo yaende, kampuni huwa zinaanza kufilisika hivi hivi
My kwl?Mbona magari ya kilimanjaro yapo barabarani?
Punguzeni janja janja ma agent uchwaraKamati ya ulinzi na usalama yawakamata watumishi wa kampuni tajwa hapo juu!!!,nani kawapa mamlaka hii to arrest?,President alishatamka kuwa arresting ifanyike baada ya uchunguzi kufanyika na DPP aka apply mind kuwa kuna winnable case, sasa unawakamata hawa dagaa hata docket police huna,ni police tu ndio wenye uwezo to arrest, na anayekamatwa LAZIMA aelezwe why anakamatwa na haki zake, nchi Choo sana hii
Ifilisike Kwa kipi? Au unadhani Sawaya ana hela za majini kama huko kwenu Kyela?Hii kampuni isipoangalia inaweza kufilisika, tajiri ajipange
NdioMy kwl?
Limeisha hilo. Ada za watoto zinatafutwa hapoNdio
TakbiirMpaka chooni hata kama una... katiza, wanataka wanafunzi wachelewe shule? Shenzi taipu.
Ukiona mmiliki wa basi au basi linazuiliwa kwasababu yoyote ujue mmiliki hajatoa hongoMpaka chooni hata kama una... katiza, wanataka wanafunzi wachelewe shule? Shenzi taipu.
Okay. ThanksUkiona mmiliki wa basi au basi linazuiliwa kwasababu yoyote ujue mmiliki hajatoa hongo
Umenikumbusha mbali Wahaya na Lile bus BujamporaMabasi ya akina Meku ni shida manka 😀
Ndo yule tapeli aliyekatisha tiket basi hewa?Umenikumbusha mbali Wahaya na Lile bus Bujampora
Walikata tiketi kufika Kisutu na tiketi wakachekwa
Bujampora sitaisahau