Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Maslahi gani yangu yameguswa?Yakiguswa maslahi yenu unang'ka 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maslahi gani yangu yameguswa?Yakiguswa maslahi yenu unang'ka 🤣🤣
[emoji23][emoji23]Ipo siku mtasema hata nyuchi za wake zenu wapewe Dp world
Turkey and the UAE have engaged in a series of proxy political-military conflicts between the Horn of Africa and the eastern Mediterranean. Beyond this, their rivalry plays out in the halls of Washington and Brussels, the global media discourse, the energy industry, and, lately, ports and the high seas.
Hii ndiyo sababu?Yapi waingie makubaliano ya kulipwa kwa shulingi badala ya USD.
Pia wafanyakazi wa kigeni wakubali kulipwa mishahara yao kwa shilingi.
Hili litairahisishia serikali kufanya malipo ya wazabuni kwa wakati.
Nadhani lile tetemeko la Uturuki lllifika hata nje ya mipaka ya nchi hiyo kiuchumiSasa hizo trillioni 30 alizokopa mama katika kipindi chake zimeishia wapi??
Alafu mbaya zaidi hatuna strong leardership pale juuMasuala ya DP World na SGR reli mpya yanatishia usalama wa nchi.
Kwa wanaootizama mbali kuni hizi mbili za DP World Dubai na Yerpi Merkez Turkey zinaelekea kukoleza moto nchi kuyumba kiuchumi na hatimaye makubwa kutokea.
Tayari watanzania nao hawalipwi mshaharaHawa nao watapiga kelele siku si nyingi wapo kimya kutokana na uwoga wataonekana siyo wazalendo.
You know what I mean😄Sasa hizo trillioni 30 alizokopa mama katika kipindi chake zimeishia wapi??
Yap Merkez ni taasisi Haina mradi TZ tu inawafanyakazi wengi hivyo sisi TZ tukishamlipa cheque yake tunataka kazi mengine ni internal matter.Kumbuka mishahara ya hao waturiki walipwa kwa mifumo ya kwao sio yetu.Wanagoma ili serikali iwasikie na kumsukuma mwajiri wao awalipe.Serikali inatakiwa imsumamie mkandarasi, kwa nini haimsimamii?
Mnataka mkaprint hela nini?Yapi waingie makubaliano ya kulipwa kwa shulingi badala ya USD.
Pia wafanyakazi wa kigeni wakubali kulipwa mishahara yao kwa shilingi.
Hili litairahisishia serikali kufanya malipo ya wazabuni kwa wakati.
Tayari watanzania nao hawalipwi mshahara
Sasa unakaza fuvu ku deny hii issue ya yepi ili iweje?Maslahi gani yangu yameguswa?
Na kweli walijua kuchafua wadada sana
Turkish International Non-Governmental Organisations-INGOs in responding to the “Arab Spring”. It studies whetherTurkey’s INGOs agenda is a classical policy or an innovative interventionist policy to influence and/or contribute to the Arab Spring.It also examines the established interests, reactions and responses of those organisations to the Arab Spring. It also includes how these organisations shapedand contributed to the establishment of new conventional power structures. The chapter considers a number of social, economic and political factors, circumstances and changes that have influenced the Turkish INGOs in responding tothe Arab Spring. The study considersTurkish INGOs as a case to examine their contributions, endeavours and challenges in the wake of the Arab spring. These organisations operate to deliver actions in the fields of humanitarian assistance,relief,emergency aid, health care, education and social welfare. These organisations are considered very crucial stakeholders in mobilising and empowering society.
Kampuni ya waturuki inajenga sebule ya mamako?Kwani wanalipwa mshahara na Serikali ya Tanzania? Kampuni ni ya waturuki. Ungewauliza wao sio kuja kutujazia server humu
Yap Merkez ni taasisi Haina mradi TZ tu inawafanyakazi
DP world imeletwa na CCM. Hata wewe chawa mkuu unaikana?Ipo siku mtasema hata nyuchi za wake zenu wapewe Dp world
USHINDANI BAINA YA UTURUKI NA FALME ZA KIARABU
Ushindani kati ya Uturuki na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wa baada ya Majira ya Majira ya Chipukizi unaathiri ugawaji wa Usaidizi Rasmi wa Maendeleo nchi za ngambo (ODA).
Ripoti yetu inatoa ulinganisho wa kina wa shirika la misaada la kimataifa ODA ya Uturuki na UAE katika viwango vya kimataifa na kikanda.
Ili kuelewa athari za mzozo wa madaraka kwenye ODA ya Uturuki, tunatumia mtindo wa mfululizo wa muda, unaochukua mgao wa kila mwaka wa ODA wa Uturuki kama kigezo chetu tegemezi, na viwango vya ODA vya kimataifa na kikanda vya UAE kama vigezo vyetu huru.
Tunaona kuwa Afrika inaibuka kama eneo kuu ambapo ushindani kati ya Uturuki na UAE unazidi. Kulingana na uchanganuzi wetu wa urejeshaji rejea unaohusisha 2000-2020, matokeo yetu yanaonyesha mipaka ya maelezo ya kidini na kitamaduni ya misaada ya kigeni, na kupendekeza maslahi ya wafadhili ya kijiografia na kisiasa yana jukumu kubwa zaidi.
Tunagundua kuwa Uturuki inatenga ODA zaidi kwa nchi za Kiislamu, lakini msukumo wake mkuu hautokani na mshikamano wa kidini na kitamaduni.
Uchunguzi wetu kuhusu Misri na Somalia unaonyesha ushindani kati ya Uturuki na UAE kwa ushawishi wa kikanda. Tunachangia fasihi iliyopo ya misaada ya kigeni kwa njia mbili muhimu:
Kwanza, tunatoa uchambuzi wa kina wa kikanda wa tabia ya misaada ya kigeni ya Uturuki, kwani kila jiografia ina mienendo yake ya kipekee ya kijiografia na kisiasa.
Pili, tunaonyesha kuwa ukaribu wa kidini hautoshi kuelezea usambazaji wa ODA ya Uturuki, kwa kuzingatia uwepo wa wafadhili wanaoshindana katika migogoro mingi ya kijiografia.