Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ishi nao kwa akili, hao ndio watakao kutengenezea fursa nyingine.Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
Inaonekana na ww ni mzee wa percentAcha KULALAMIKA be realistic
Mkataba unaweza ukawepo lakini wanakutengezea tu zengwe la kukucheleweshea pesa usipate kwa wakati mpk uwape percent ndo watakimbiza jambo lakoMkataba si upo?
Wanabidi wakulipe on time ila issue kama hizo UKIPATA tenda kubwa ya serikali ni zaidi ya hapoInaonekana na ww ni mzee wa percent
Wanahujumu haki za watuMfumo wa mizengwe.
Mkataba mpya uweke kipengele cha payment kilicho simamia kuchaMkataba unaweza ukawepo lakini wanakutengezea tu zengwe la kukucheleweshea pesa usipate kwa wakati mpk uwape percent ndo watakimbiza jambo lako
Aisee kz sana unatumia nguvu kufanya kazi zako na pia unatumia nguvu kupata malipo yako kisa watu wanataka percentWanabidi wakulipe on time ila issue kama hizo UKIPATA tenda kubwa ya serikali ni zaidi ya hapo
Tunajifunza kutokana na makosa. Mkataba lazima uzingatie hilo maana watu miyeyusho sanaMkataba mpya uweke kipengele cha payment kilicho simamia kucha
Unawambia mapema kwenye mkataba tueke bei yenye % yao ili wasile chakoWafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
Sio rahic mkataba ukawa na kipengele hicho maana kuna wapigaji ndani ya kampuni wanapiga hawataki wenzao wajueUnawambia mapema kwenye mkataba tueke bei yenye % yao ili wasile chako
Unajikuta pesa yako imenyofolewa nusuFungu la 10 sheikh, hiyo ni moja kat ya marketing plan. Sio bongo tu
System ndivyo inavyofanya kazi!Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
Naona analia kwa kidogo, kuna project moja nlipata,nika sign, mtu wa halmashauri akaomba % kubwa nikamkatalia.Wanabidi wakulipe on time ila issue kama hizo UKIPATA tenda kubwa ya serikali ni zaidi ya hapo
Hayo mambo ndo wanwazid kete wazabun wa kihindi. Muhind mkono wake sio wa birika, palipo na uzia anapenyeza rupiaUnajikuta pesa yako imenyofolewa nusu