Wafanyakazi wa ma Kampuni ni kero wanataka Percent ktk Project za watu

Hii mambo ishanikuta kwenye kampun ya mchina, mchina kiswahili hakipand na kimombo kwa mbali sana, sasa mchina anamtumia dereva wake kuwasiliana na mimi mpaka nasign project, sasa kazi ikaanza na kuisha salama, list ya posho ikaja, dereva wa mchina anataka posho,mlinzi anataka posho, enginia wa mchina anataka posho, nikapiga hesabu nikawajibu mngenijuza kipindi naanda quotation ningeweka posho zenu, hapa hakuna badget yenu,
 
Hhhh story yako inafanana na yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…