Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Unajua niko wapi siku hizi? Sipo kule tenawewe tu ndio hujataka kuniona [emoji4]
pia nitahamia kipande hicho soon, very soon [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua niko wapi siku hizi? Sipo kule tenawewe tu ndio hujataka kuniona [emoji4]
pia nitahamia kipande hicho soon, very soon [emoji4]
kaka unamaliza tu kona zote..tupasishiane hiyo mipira maana mji mgumu huu😊😊Unajua niko wapi siku hizi? Sipo kule tena
1. UKIONA HIVYO UJUE MENEJA NI SHEMEJI YAO WAHUDUMU, YAANI ANAMLAMBA MMOJA WAO, AU AMEWAPITIA KARIBU WOTE WAKATI ANAWAAJIRINi kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja.
Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu akusikilize haji na unawaona wapo tu karibu wamekaa makundi makundi wakipiga soga ila cha kushangaza akija mshikaji wao wataamka fasta kumkimbilia na kwenda kumsikiliza. Inakubidi usubiri au uite kwa kulazimisha ndo atakuja kukusikiliza na akishakuhudumia anapotea jumla kwenda kukaa na washkaji wao.
Ukweli ni kuwa wahudumu wa hii baa ni wapuuzi wakubwa hawajielewi na wataua hii baa muda si mrefu, watu wengi hawaridhishwi na tabia hizi wanaenda tu kwa vile hakuna namna ila endapo patatokea Bar mbadala basi wajiandae kufa kifo cha mende.
Nimehama rasmi hii baa nakunywa zangu maeneo ya Boko, au Tegeta au Mbezi.
Najua watajitetea ni wivu au vita za kibiashara ila huo ndo ukweli. Meneja naye hajielewi kabisa kwanza anawaogopa wahudumu.
Ni hayo tu
[emoji23][emoji23]Mimi hawa nimewakomesha sana hasa kule Sinza. Nilikuwa nikiwasubiri hadi kufokeana nilichokuwa nafanya kwa hadira ni kuagiza pia nyama! Nikishaletewa basi naendelea kula nyama na kunywa kinywaji. Ilishafika muda wa kuomba maji ya kunawa nilikuwa napiga kinywaji fasta na kukimaliza, halafu natega macho jikoni kuangalia aliyeniletea nyama yupo busy na mteja gani wa kuagiza nyama au anapeleka nyama wapi! Nikishagundua yupo busy au anamprlejea nyama mteja mwingine hapo ndipo mimi nilikuwa nachomoka kama kenge bila hata kunawa! Nilikuwa naenda kunawa bar nyingine huko nilikoelekea! Nimekomesha bar karibu zote pale Sinza, na nilikuwa sirudi kwenye hizo bar kwa muda wa miezi mingi hadi wasahau. Kuna mchoma nyama mmoja siku moja akaninasa kwenye bar yao, alinifuata na kuniambia ‘ wewe bwana kuna siku ulikula nyama na ukaondoka bila kulipa’. Nikamjibu kuwa hapa wachoma nyama mpo wengi na mimi nilimpa hela mwenzenu mmojawapo. Akaondoka huku ameguna! Sasa bar nyingi pale Sinza nikiagiza nyama huwa wapo macho sana wanafuatilia hadi ninapomaliza kipande cha mwisho cha nyama na fasta utakuta wamefika na maji ya kunawa. Ukishamaliza kunawa hapo hapo wanataka na hela maana wanajua kitendo cha kugeuka na kuelekea jikoni bila hela watashangaa na mimi huku nyuma nimeyeya chap chap!
Kwani kuwapa tip lazima ?1. UKIONA HIVYO UJUE MENEJA NI SHEMEJI YAO WAHUDUMU, YAANI ANAMLAMBA MMOJA WAO, AU AMEWAPITIA KARIBU WOTE WAKATI ANAWAAJIRI
2. HIYO BAR KWA MAELEZO YAKO INAONEKANA HAINA WATEJA WENGI BASI, BAAR YENYE WATEJA WAHUDUMU WANAPATRA WAPI MUDA WA KUKAA KUPIGA SOGA?
3. INAONEKANA ULIMKOPA MMOJA WA WAHUDUMU WAKAAMBIZANA KWA HIYO WAMEKUSUSA MAZIMA
4. KAMA NI MNYWAJI WA UKWELI NI VIZURI KUWAACHIA CHENJI HAWA WAHUDUMU KWA SABABU MBILI AU ZAIDI. KWANZA, WANALIPWA PESA NDOGO SANA, PILI, KWENYE BAR AMBAYO UNAKUNYWA MARA KWA MARA WAHUDUMU WANAKUWA SIO WAHUDUMU WA BAR TU BALI HATA WEWE MTEJA NI WAHUDUMU WAKO PRIVATE, WAFANYE KUWA MARAFIKI ZAKO HALAFU UTAKUJA KUNIAMBIA SIKU MOJA!
Bila kiboko Mjerumani asingeijenga nchi hii.Mswahili bila "bakora" haendi, tunawalaumu bure wahindi na ukali wao lakini huo ndio ukweri
Hahahaha[emoji3]kaka unamaliza tu kona zote..tupasishiane hiyo mipira maana mji mgumu huu[emoji4][emoji4]
River Wood pazuri ila tatizo hapana vibe skuizi watu wachache .. Kwa mbele kidogo kuna sehem inaitwa Ox Sports Bar nadhani kuna vibe balaaaa ila tatizo ni changanyikeni sana washua, bodaboda, pisi kali, madem wachafu wachafu wote ndani balaa tupu😂hahaaaa kweli bia tamu.....hamia River Wood Bunju B .. ama vuka daraja la bagamoyoo kuna viwanja vya kujinafasi kama Kimele Resort au Ndoto Pole Pole (hapa lazima ufanye booking)
.. Meneja naye hajielewi kabisa kwanza anawaogopa wahudumu.....meneja amelewa huduma ile ya baadae ya wahudumuuu
mbona vijiwe viko vingi sanaa we unakariri sehemu moja tuuuu .... ka una kifua vuka nenda apo jirani pana Posto Bella Garden yenye had swiming pool .... ama kula akapulco mbweni ... ama njoo huku kwetu Gobaaa
ndio maana nilitaka nijue hizo mbinu zake za kivita 😁
Ongezea na hili wa vyoo vichafu na vibayaNi kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja.
Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu akusikilize haji na unawaona wapo tu karibu wamekaa makundi makundi wakipiga soga ila cha kushangaza akija mshikaji wao wataamka fasta kumkimbilia na kwenda kumsikiliza. Inakubidi usubiri au uite kwa kulazimisha ndo atakuja kukusikiliza na akishakuhudumia anapotea jumla kwenda kukaa na washkaji wao.
Ukweli ni kuwa wahudumu wa hii baa ni wapuuzi wakubwa hawajielewi na wataua hii baa muda si mrefu, watu wengi hawaridhishwi na tabia hizi wanaenda tu kwa vile hakuna namna ila endapo patatokea Bar mbadala basi wajiandae kufa kifo cha mende.
Nimehama rasmi hii baa nakunywa zangu maeneo ya Boko, au Tegeta au Mbezi.
Najua watajitetea ni wivu au vita za kibiashara ila huo ndo ukweli. Meneja naye hajielewi kabisa kwanza anawaogopa wahudumu.
Ni hayo tu
Umeandika kwa herufi kubwa kama ilivyokuwa kwenye barua ya kujiuzulu ya Mheshimiwa Spika [emoji28][emoji28][emoji28]1. UKIONA HIVYO UJUE MENEJA NI SHEMEJI YAO WAHUDUMU, YAANI ANAMLAMBA MMOJA WAO, AU AMEWAPITIA KARIBU WOTE WAKATI ANAWAAJIRI
2. HIYO BAR KWA MAELEZO YAKO INAONEKANA HAINA WATEJA WENGI BASI, BAAR YENYE WATEJA WAHUDUMU WANAPATRA WAPI MUDA WA KUKAA KUPIGA SOGA?
3. INAONEKANA ULIMKOPA MMOJA WA WAHUDUMU WAKAAMBIZANA KWA HIYO WAMEKUSUSA MAZIMA
4. KAMA NI MNYWAJI WA UKWELI NI VIZURI KUWAACHIA CHENJI HAWA WAHUDUMU KWA SABABU MBILI AU ZAIDI. KWANZA, WANALIPWA PESA NDOGO SANA, PILI, KWENYE BAR AMBAYO UNAKUNYWA MARA KWA MARA WAHUDUMU WANAKUWA SIO WAHUDUMU WA BAR TU BALI HATA WEWE MTEJA NI WAHUDUMU WAKO PRIVATE, WAFANYE KUWA MARAFIKI ZAKO HALAFU UTAKUJA KUNIAMBIA SIKU MOJA!
Hivi kweli uchawi upo ? mabaa yote yaliyojazana mitaani we unasumbuka na hiyo tu ! utakuwa umelogwaNi kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja.