Wafanyakazi wa shamba wanahitajika

Wafanyakazi wa shamba wanahitajika

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
Natafuta watu wa nguvu kazi kufanya palizi na kuandaa shamba.

kwa waliotayari au anayeweza kunitafutiaa mikoani anijulishe kwa namba 0768942828 au ani pm hapa.


eneo la kazi ni mkoa wa pwani.
 
Sasa mkuu hao watu utafanya nao mkataba wa muda gani?,vipi kuhusu gharama za usafiri wanajitegemea au wewe unawagharimia?
 
Back
Top Bottom