makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Mar 2, 2015 #1 Natafuta watu wa nguvu kazi kufanya palizi na kuandaa shamba. kwa waliotayari au anayeweza kunitafutiaa mikoani anijulishe kwa namba 0768942828 au ani pm hapa. eneo la kazi ni mkoa wa pwani.
Natafuta watu wa nguvu kazi kufanya palizi na kuandaa shamba. kwa waliotayari au anayeweza kunitafutiaa mikoani anijulishe kwa namba 0768942828 au ani pm hapa. eneo la kazi ni mkoa wa pwani.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Mar 2, 2015 #2 Sasa mkuu hao watu utafanya nao mkataba wa muda gani?,vipi kuhusu gharama za usafiri wanajitegemea au wewe unawagharimia?
Sasa mkuu hao watu utafanya nao mkataba wa muda gani?,vipi kuhusu gharama za usafiri wanajitegemea au wewe unawagharimia?