Mkuu anayekuibia sio customer care isitoshe customer.care ndio wanaokusaidia pale upatapo tatizo muda wowote ule labda nikudokeze hii kazi ikoje ni kazi ngumu mnoo imagine unakaa ndani ya ac kali kwa.masaa nane straight kazi yako ni moja kupokea simu na kutatua matatizo ya wateja at a very limited time na kwa siku ni lazima uwe na calls 180 and above na uwe na average talk time ya three minutes acha hapo uwe polite na utoe accurate info ontop of that ufate all regulation za kuhandle mteja vilevile usizidishe hata dakika muda wa launch ambao ni dakika arobain tu na ni hizo hizo huzitumie kwenda msalani,system ipo maalum ku monitor unafanya nini kwa wakati gani na kila mteja i mean kila call inakuwa na form maalum ambayo ni lazima uijaze hawajui habari ya wewe umechoka au la ni kazi kwenda mbele next time jaribu kutafakari kama ndio mwanao anafanya kazi hapo ungujisikiaje,NB ntaendelea