Tetesi: Wafanyakazi wa Vodacom wajipanga kugoma Februari

Sasa wenzangu na mimi wanaopasua masikio mishahara yao duni gharama za kuishi mazingira ya voda pekee yake yapo juu mwisho wa siku mshahara wote unaishia pale pale ofisini kabla hujafika nyumbani kukutana na madeni huwezi hata kuweka akiba wakati staff wa voda mishahara yao hukutana tu bank we safari yako moja tu atm dahhh
 
Update
Wamearisha kwa muda kupata ruhusu toka serikalini
 
Sasa wenzangu na mimi wanaopasua masikio mishahara yao duni gharama za kuishi mazingira ya voda pekee yake yapo juu mwisho wa siku mshahara wote unaishia pale pale ofisini kabla hujafika nyumbani kukutana na madeni huwezi hata kuweka akiba wakati staff wa voda mishahara yao hukutana tu bank we safari yako moja tu atm dahhh
Mkuu leo nimefanya interview pale erolink. Nimesoma uzi wako huu nasikia kukata tamaa hata kabla ya kujua kama nimefaulu.
 
Kuna siku nilijiuliza kuhusu ukali wa ac pale ofisini kumbe siri kubwa za zile ac sio kwamba wanawapenda sana wafanyakazi la hasha ni kwa ajili ya kupoozea macomputer yao maana daima haziimwi hata kama,kwa mshahara wa laki tatu kwa maisha ya sasa tena kwa kampuni kubwa kama voda ni wizi wa waziwazi kabisa aibu hawana ero link na voda ni mafisadi wa kiwango cha juu kabisa cha ufisadi tanzania kutokea cha ajabu serikali ipo nakumbuka yule mama waziri mungu amlaani popote alipo alikuja pale kwa mbwebwe mwisho wa siku kapewa kitu kidogo kimya sasa tunataka kumuona na huyu wa sasa atafanya nini
Customer care wameajiriwa na voda au na erolink??
 
What? Unalalamika muda wa kula wa dakika 40 hautoshi? Kweli watanzania tunapenda mlegezo!
Mkuu punguza kukurupuka ndani ya dakika arobaini utoke viunga vya mliman city uwende kwa mama ntilie na kule pia kuna foleni umalize urudi hata kabla hujapumua vizuri upo mzigoni tena
 
Mgomo ni maamuzi mkiamua mna revolt wala hakuna cha siri Vodacom wanafahamu unyonyaji unaondelea naamini kabisa baadhi ya vigogo wanafaidika na unyonyaji huu wakisaidiana na ero link hivi hii huyo rais anayesifiwa kutumbua majipu halioni hili vodacom wanaingiza bilions every month kuwaongezea hawa vijana laki moja ktk mishaahara yao ya laki tatu wanaona shida gani lakini
Sasa kama wameajiriwa na erolink lawama kwa voda za nini?
Kama vida wameingia mkataba na erolink wa huduma...erolink ndiye anayeajiri na kulipa mishahara na marupurupu yote na voda hawahusiki ni vyema wagomee erolink. Na waombe waziri husika asimamie ili mwajiri wao erolink alipe mshahara mzuri bima za afya na marupurupu mengine....kumkaba voda haitowasaidia, maana hajawaajiri hata kisheria utampresha vipi???? Na hamna mkataba nae???? (Ni mtazamo wangu lakini....)
Kuna siku nilijiuliza kuhusu ukali wa ac pale ofisini kumbe siri kubwa za zile ac sio kwamba wanawapenda sana wafanyakazi la hasha ni kwa ajili ya kupoozea macomputer yao maana daima haziimwi hata kama,kwa mshahara wa laki tatu kwa maisha ya sasa tena kwa kampuni kubwa kama voda ni wizi wa waziwazi kabisa aibu hawana ero link na voda ni mafisadi wa kiwango cha juu kabisa cha ufisadi tanzania kutokea cha ajabu serikali ipo nakumbuka yule mama waziri mungu amlaani popote alipo alikuja pale kwa mbwebwe mwisho wa siku kapewa kitu kidogo kimya sasa tunataka kumuona na huyu wa sasa atafanya nini

voda wanashurikiana na ero kuwakandamiza....wakat niko pale tuligoma tukafukuzwa kaz then tukarudishwa...kinyemela...hata hivyo wafanyakaz wengi madem na waoga kinooma ...ww unagoma wenzako wanalog in....te te te

Ero link mkuu voda wawatambui
 
Sasa kama wameajiriwa na erolink lawama kwa voda za nini?
Kama vida wameingia mkataba na erolink wa huduma...erolink ndiye anayeajiri na kulipa mishahara na marupurupu yote na voda hawahusiki ni vyema wagomee erolink. Na waombe waziri husika asimamie ili mwajiri wao erolink alipe mshahara mzuri bima za afya na marupurupu mengine....kumkaba voda haitowasaidia, maana hajawaajiri hata kisheria utampresha vipi???? Na hamna mkataba nae???? (Ni mtazamo wangu lakini....)
mtazamo wako una negative impact kwa wafanyakazi anyway utakapoibiwa usije kulilia hapa au kwengineko
 
Mkuu punguza kukurupuka ndani ya dakika arobaini utoke viunga vya mliman city uwende kwa mama ntilie na kule pia kuna foleni umalize urudi hata kabla hujapumua vizuri upo mzigoni tena
Mkuu sio kukurupuka ila mimi nataka tuache visingizio visivyo na maana na tulalamikie mambo ya msingi. Mimi nimefanya kazi nchi zenye kufuata sheria za kazi kwa kiasi kikubwa. Lunch time ni nusu saa na hulipwi. Ina maana hiyo nusu saa inaondolowa kutoka katika saa ulizofanya kazi. Na kunapokuwa hamna sehemu ya kula karibu mtu unabeba lunch box yako.
 
Sawa sijakukatalia basi hizo hekaheka mshahara ungekuwa unaridhisha in short wanakutumikisha to the maximum for very minimal wage mfano hata wewe ukiniajiri na mshahara wangu ni mnono kaka hata ukisema launch dakika kumi sawa tu
 
mtazamo wako una negative impact kwa wafanyakazi anyway utakapoibiwa usije kulilia hapa au kwengineko
Halafu kuna kitu ambacho watanzania wengi hawakijui kuhusu hizi kampuni za uwakala kama hii mnayolalamikia. Unapoingia nao mkataba ndio nafasi yako ya kukubali au kukataa kiwango cha mshahara. Hivyo basi unapokubaliana nao mshahara, ukianza kufuatilia tena wao wanalipwa nini na wale wafanyakazi wa kampuni mama wanalipwa nini utabaki unaumiza roho....
 
Hivi hawa Erolink TRA wanaweza onesha kodi yao wanayolipa ikoje?
 
Sawa sijakukatalia basi hizo hekaheka mshahara ungekuwa unaridhisha in short wanakutumikisha to the maximum for very minimal wage mfano hata wewe ukiniajiri na mshahara wangu ni mnono kaka hata ukisema launch dakika kumi sawa tu
Hayo sasa maneno. Mnapodai inatakiwa muwe specific namna hiyo. Mkitoa malalamiko ya jumla tu itakuwa ngumu kupata ufumbuzi. Hata mimi nimesoma michango mingi na nimegundua tatizo kubwa liko kwenye mishahara = ni midogo. Hayo malalamiko mengine yote ni dalili tu za ''maradhi'' halisi.
 
What? Unalalamika muda wa kula wa dakika 40 hautoshi? Kweli watanzania tunapenda mlegezo!
Daah mzee unadhani kwa huo mshahara unaweza kula mlimani city??itapidi utembee mpaka saveiii ndani ndani kwa mama ntilie utafute msosi wa buku mbili au buku!ule urudi mcity
 
Hivi hii kampuni ya ero link bado ipo tu?? Sinasikia inawanyonya wafanyakazi mpaka cd4 zao
 
Kwa mwendo huu watu weusi kuingia mbinguni ni kwa uchache sana sababu mijitu meusi ndio inayobania mshahara usiongezeke
 
hii kampuni si ilifungiwa hii au kumbukumbu zangu zinanidanganya?
 
Wakuu, Ero link Wameshawapandisha mshahara wafanyakazi wake ka Waziri alivyoelekeza??
 
Back
Top Bottom