Tetesi: Wafanyakazi wa Vodacom wajipanga kugoma Februari

Tetesi: Wafanyakazi wa Vodacom wajipanga kugoma Februari

Wengi hupata matatizo mkuu hasa kiuno mgongo na masikio kuuma na kutoa maji hali zikiwa mbaya ndio hivyo wanaacha kazi kimyakimya nawafahamu wengi waliathirika
Duuuh, watu wanadhambi,Haya mavitu nakumbuka wazungu waliyakataa,ikawa call centers zote ziko India naona huko nako wameamka wamekuja huko jalalani, it's sad.
 
voda wanashurikiana na ero kuwakandamiza....wakat niko pale tuligoma tukafukuzwa kaz then tukarudishwa...kinyemela...hata hivyo wafanyakaz wengi madem na waoga kinooma ...ww unagoma wenzako wanalog in....te te te
 
Ukweli ni kwamba makampuni mengi makubwa sasa hivi hayalipi mishahara mikubwa na kwa vijana mlioko chuo mnatakiwa kujua haya mapema. Anyway tuje kwenye ero link, hivi serikali ilishakataa watu kuajiliwa kupitia sub- contractor???. Isitoshe unaweza kuta zaidi ya 40% ya salary yako wanachukua. Sasa hapa huwa napatwa na kigugumizi. Iweje anayefanya kazi alipwe 60% na pesaingine ichukuliwe na middle men??
 
Na hapo bado hajawa kiziwi badae kwa kuathirika na kuongea na simu masaa 8 kwa siku
 
Halafu humu humu JF mnatucheka tunaobeba boksi.

Sasa kwa huo mshahara wa chini ya laki 5 dah na kampuni inaingiza mamia ya mamilion kwa siku. Ukienda kiwanda cha neti Arusha watu wanalipwa elf75 kwa mwez na kwasiku wanafanya kazi masaa12 na manyanyaso.
Hii ngozi ina laana, uliza mhindi analipwabei gani?
 
Ile kazi ni ya kinyonyaji mnoooo vipengelee nilivyovitaja na vingine vingi ukifanikiwa ndio unapata above laki tatu ila kuna sharti moja la ajabu sana ili upate bonus ni lazima uwe na high performance ambayo wafanyakazi wengi wanajitaidi kufika ila ikatokea siku moja ukaumwa au ukapata dharura ya aina yoyote ile basi zile juhudi zako zote kazi bure utaambulia below laki tatu ile ofisi mfanyakazi mwenye mwezi mmoja na mwenye miaka nenda rudi wanalipwa sawa na mara nyingine huzidiwa na mgeni,ukiumwa ni juu yako kampuni haitokununulia hata panadol hawana program yoyote ile ya kumkumbuka mfanyakazi wao hakuna cha bima wala nini na kinachoomiza zaidi kuumwa kwako kuna effect moja kwa moja na mshahara wako maana unalipwa kulingana na masaa ya kazi sasa ukiumwa maana yake huna masaa hivyo huna mshahara wee uguaaaa ukipona ndio urudi kufanya kazi yaani pale wafanyakazi hawana thamani kabisaa
Pole hayo ni mateso na utumwa alafu mtu ukulipe Kiduchu !!
 
Tatizo kubwa pale ni wafanyakazi wenyewe,nilikuwepo pale kwa muda mrefu! Ukisimama ktk nafasi ya kutetea maslahi ya wote, huwezi amini utabaki wewe kama wewe kusimamia maslahi ya wote!
Mipango mbalimbali mtakayo ongea ninyi kama wafanyakazi, tayari itawafikia wahusika kwa sbb kuna wafanyakazi wengi wanajirahisisha kwa mabosi wa vodacom.Amin Amin nawaambie ninyi call centre Agents, uhuru wenu wa kiuchumi ni pale mtakapo toka ktkt minyororo ya mikataba yao.
 
Call center job europe inalipa.sana lakini sio.bongo. Do a research on vodacom sa call centre salaries amd fringe benefits. Sijui wabongo nani katuloga hivi kweli yai.moja tsh 400, nyama kg 1 tsh 9000 halafu unakubali.mshahara hata wa laki 6 na nusu?? Hapana.tunahitaji maslahi bora kwa wananchi wetu. Hizi shida za watu kupata kipindupindu,kujenga mabondeni,watoto kutojua kusoma na kuhesabu vinasababishwa na.mishahara duni. Let us be realistic
 
Call center job europe inalipa.sana lakini sio.bongo. Do a research on vodacom sa call centre salaries amd fringe benefits. Sijui wabongo nani katuloga hivi kweli yai.moja tsh 400, nyama kg 1 tsh 9000 halafu unakubali.mshahara hata wa laki 6 na nusu?? Hapana.tunahitaji maslahi bora kwa wananchi wetu. Hizi shida za watu kupata kipindupindu,kujenga mabondeni,watoto kutojua kusoma na kuhesabu vinasababishwa na.mishahara duni. Let us be realistic
Mshahara laki sita labda vodacom south africa ya pale mlimani city na vodashop zote ni below laki nne i have been there i have experienced it
 
Tatizo wanashidwa kuelewa call centre kuna vibarua na sio wafanyakazi wafanyakazi wa voda na.hao wa.ero link wapo tofauti kabisa,asilimia 80 ya staff wa voda mishahara yao inaanzia milioni moja na laki mbili wanamikopo ya milioni 30 wana miliki magari ya kifahari wanapendeza kimavazi na wanafanya kazi katika mazingira mazuri hata airtime zao ni laki na kuendelea ukiachia mbali huduma za afya na free gym class
 
Back
Top Bottom