Habari nilizopata kupitia chanzo cha kuaminika wafanyakazi wote wa kitengo cha customer care pale makao makuu mlimani city wamejipanga kugoma ifikapo february mosi hii inatokana na management ya ero link na vodacom kutopandisha mishahara yako kama ilivyoekezwa na naibu waziri Anthony mavunde.
My take,
Mshikamane mtafanikiwa
Hakuna another option..mtaani hamna ajira lakini Ero link wanamakosa kwani wanajua mshahara elekezilakini kwanini na vijana wanaingia mkataba na erolink kama wanaona wanawanyonya?
sababu ni njaa mkuu..lakini kwanini na vijana wanaingia mkataba na erolink kama wanaona wanawanyonya?
Mkuu anayekuibia sio customer care isitoshe customer.care ndio wanaokusaidia pale upatapo tatizo muda wowote ule labda nikudokeze hii kazi ikoje ni kazi ngumu mnoo imagine unakaa ndani ya ac kali kwa.masaa nane straight kazi yako ni moja kupokea simu na kutatua matatizo ya wateja at a very limited time na kwa siku ni lazima uwe na calls 180 and above na uwe na average talk time ya three minutes acha hapo uwe polite na utoe accurate info ontop of that ufate all regulation za kuhandle mteja vilevile usizidishe hata dakika muda wa launch ambao ni dakika arobain tu na ni hizo hizo huzitumie kwenda msalani,system ipo maalum ku monitor unafanya nini kwa wakati gani na kila mteja i mean kila call inakuwa na form maalum ambayo ni lazima uijaze hawajui habari ya wewe umechoka au la ni kazi kwenda mbele next time jaribu kutafakari kama ndio mwanao anafanya kazi hapo ungujisikiaje,NB ntaendeleaKweli mkuki kwa nguruwe...yaani wanavyotuibia hela zetu kwenye simu wala hawana huruma...
Daah hujui jinsi hizi Mobile network zinavyofanya kazi hawa jamaa wa call center hawana mkataba wowote Na Vodacom wao boss wao Ero link..Kweli mkuki kwa nguruwe...yaani wanavyotuibia hela zetu kwenye simu wala hawana huruma...
Mkuu anayekuibia sio customer care isitoshe customer.care ndio wanaokusaidia pale upatapo tatizo muda wowote ule labda nikudokeze hii kazi ikoje ni kazi ngumu mnoo imagine unakaa ndani ya ac kali kwa.masaa nane straight kazi yako ni moja kupokea simu na kutatua matatizo ya wateja at a very limited time na kwa siku ni lazima uwe na calls 180 and above na uwe na average talk time ya three minutes acha hapo uwe polite na utoe accurate info ontop of that ufate all regulation za kuhandle mteja vilevile usizidishe hata dakika muda wa launch ambao ni dakika arobain tu na ni hizo hizo huzitumie kwenda msalani,system ipo maalum ku monitor unafanya nini kwa wakati gani na kila mteja i mean kila call inakuwa na form maalum ambayo ni lazima uijaze hawajui habari ya wewe umechoka au la ni kazi kwenda mbele next time jaribu kutafakari kama ndio mwanao anafanya kazi hapo ungujisikiaje,NB ntaendelea
Hivi in a long run hawa wapokea simu huwa hawaathiriki,hamna maradhi yoyote wanayoyapata,wataalamu wa mionzi wanasemaje juu ya hili?Ile kazi ni ya kinyonyaji mnoooo vipengelee nilivyovitaja na vingine vingi ukifanikiwa ndio unapata above laki tatu ila kuna sharti moja la ajabu sana ili upate bonus ni lazima uwe na high performance ambayo wafanyakazi wengi wanajitaidi kufika ila ikatokea siku moja ukaumwa au ukapata dharura ya aina yoyote ile basi zile juhudi zako zote kazi bure utaambulia below laki tatu ile ofisi mfanyakazi mwenye mwezi mmoja na mwenye miaka nenda rudi wanalipwa sawa na mara nyingine huzidiwa na mgeni,ukiumwa ni juu yako kampuni haitokununulia hata panadol hawana program yoyote ile ya kumkumbuka mfanyakazi wao hakuna cha bima wala nini na kinachoomiza zaidi kuumwa kwako kuna effect moja kwa moja na mshahara wako maana unalipwa kulingana na masaa ya kazi sasa ukiumwa maana yake huna masaa hivyo huna mshahara wee uguaaaa ukipona ndio urudi kufanya kazi yaani pale wafanyakazi hawana thamani kabisaa
Wengi hupata matatizo mkuu hasa kiuno mgongo na masikio kuuma na kutoa maji hali zikiwa mbaya ndio hivyo wanaacha kazi kimyakimya nawafahamu wengi waliathirikaHivi in a long run hawa wapokea simu huwa hawaathiriki,hamna maradhi yoyote wanayoyapata,wataalamu wa mionzi wanasemaje juu ya hili?