Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
hahaha mkuu ninaisoma hasira yako kwenye posts zako. naamini ungelikuwa na uwezo ungewacharaza viboko akina kikwete and the gang.
Nilikuwa mitaani jana na leo pale dar watu wanasema wazi kabisa kwamba wanajua kura yao wanampigia slaa. hata wanasisiemu na wajumbe wa kamati za viongozi wa shina wanasema hivyohivyo.
Ila kuna wazee wachache wameamua kufa na tai shingoni
Hapa maswa wananchi wamesema wanampa Dr Slaa kura nyingi kiasi kwamba hata ccm waibe na kujaza ktk magunia kama yale ya kubebea pamba ghalani still kura hazitawatosha. Kila mtu anaongelea kumpigia kura Slaa. Sijapata kuona muamko kama huu ktk chaguzi zote tatu nimeshiriki.